Waungwana Wakiahidi, Wanatekeleza!, Rais Samia Aliahidi Kuanza Mchakato wa Katiba Mpya, Ndani ya Siku 100 za Kwanza, Je Atatekeleza?

Wanabodi

Hii ni makala yangu ya kufungulia mwaka kwenye gazeti la Leo la Mwananchi
View attachment 3529792

Hii ni Makala yangu ya kwanza kwa mwaka huu, 2026, hivyo naomba kuanza kwa kuwatakia heri ya Mwaka Mpya na kumshukuru Mungu kwa kutujalia neema kuuona mwaka.

Nauanza mwaka kwa kuidurusu sehemu ya hotuba ya Mhe. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan ya kufungia mwaka 2025 aliyoitoa siku ya mkesha wa mwaka mpya, Jumatano iliyopita, kwangu ndio mada ya kuanzia mwaka.

Kwenye hotuba hiyo, kuna vitu vingi muhimu rais Samia amevizungumzia, ila vingine muhimu zaidi, rais Samia hakuvizungumzia, hivyo hii ni makala ya swali kuwa kwa mwaka 2026, kitu muhimu kuliko vyote ni kuanza kwa mchakato wa katiba mpya, ambapo Rais Samia akilihutubia Bunge aliahidi mchakato wa katiba mpya utaanza ndani ya siku 100 za kwanza za awamu hii, lakini kwa vile mambo ni mengi umebaki mwezi mmoja kutimia siku 100 za kwanza je hili la katiba litakuwepo?.

Rais Samia amezungumzia uchumi wa nchi yetu, amesema nchi yetu inaendelea kupiga hatua kubwa za kimaendeleo katika sekta mbalimbali kuboresha maisha ya watu kwa shughuli mbalimbali za maendeleo.

Serikali yetu imekuwa ikiendelea kuchukua hatua madhubuti za kuimarisha uchumi wa Taifa, ikiwemo kudhibiti mfumuko wa bei hasa bei za bidhaa kikiwemo chakula na pato la taifa kukua kwa asilimia 6% kutoka asilimia 5.2% mwaka 2024 mpaka asilimia 5.8% mwaka 2025.

Hata hivyo ukuaji huu wa uchumi hauakisi uchumi wa mtu mmoja mmoja, hivyo huku mtaani, hali ni ngumu.

Hali hii ya ugumu wa maisha mtaani, inatokana na ukuaji huu wa uchumi umetokana na uwekezaji wa serikali katika miradi mikubwa ya kimkakati ya miundombinu, pamoja na mchango mkubwa wa sekta za madini, ujenzi, na sekta ya fedha na huduma, ikiwemo utalii, ambako karibu kote wakandarasi ni kampuni za kigeni ambazo fedha hizo zinakwenda kurejea makwao badala ya kuingia kwenye mzunguko wetu, uwekezaji wenye mrejesho mkubwa ni kwenye sekta ya kilimo ambayo ndio sekta tegemeo kwa wengi bado sio mkubwa kivile.

Kitu kizuri kuhusu mwaka huu, ni mwaka wa kuanza utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya Mwaka 2050, ambapo serikali itaendelea kutekeleza Mkakati wa Muda wa Kati wa miaka mitatu (2026, 2027 na 2028), wa kuongeza mapato ya serikali kwa kuimarisha matumizi ya mifumo ya kielektroniki katika kukusanya mapato, katika kufanya malipo, na kuongeza umakini katika usimamizi wa fedha na rasilimali za umma, hili ambalo ni jambo jema.

Jambo moja kubwa linalosubiriwa kwa hamu kubwa ni kuanza kwa mchakato wa katiba mpya kama ilivyoelezwa kwenye Dira ya Taifa, na kwenye Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo Rais Samia akilihutubia Bunge, alisema mchakato huu utaanza ndani ya siku mia moja (100) za kwanza za awamu hii ambazo zitatimu mwezi Februari mwaka huu, japo kwenye hotuba hii, Rais Samia hakurejelea kuanza kwa mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100 za kwanza, sasa kumeibuka mchakato wa kuundwa kwa tume ya maridhiano, hivyo hili la mchakato wa katiba ndani ya siku 100 za kwanza sijui kama litawezekana, ila katiba mpya ndilo jambo muhimu zaidi kwa taifa letu kwa sasa kuliko jambo jingine lolote.

Si wengi wanakijua chanzo halisi cha zile vurugu za October 29, zilichangiwa na kutokufanyika kwa minimum reforms za katiba ambacho ni kitu kidogo, lakini matokeo yake ndio kile kilichotokea.

Rais Samia ametusisitiza kufanya kazi kwa bidii, mshikamano, na uzalendo, na kutimizwa kwa malengo tuliyojiwekea, kuleta uendelevu wa maendeleo yetu, hivyo serikali itachukua hatua za kimkakati kuweka mazingira rafiki ya kisera, kisheria na kiutendaji yatakayoongeza fursa za biashara, uwekezaji na fursa nyingine za kiuchumi, kijamii na kisiasa kwa Watanzania wote huku tukiendelea kuvutia wawekezaji kutoka nje ya nchi bila kusahau wajibu wetu wa kulinda rasilimali za nchi ili zitumike kwa manufaa ya Taifa.

Rais Samia amesisitiza uwepo wa utulivu wa kisiasa na hali ya amani na usalama kwa kukumbushia changamoto na mitihani iliyotugusa mwezi Oktoba, kwenye uchaguzi mkuu wetu, amekiri ni tulipitia nyakati ngumu zinazohitaji subira, mshikamano na uzalendo, japo kwa maoni yangu zile vurugu zilikuwa zinaepukika kama serikali yetu ingekuwa sikivu na kusikiliza ushauri.

Rais Samia amevishukuru kwa dhati vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na wananchi wote kwa ujumla, kwa kuendelea kudumisha amani, umoja na mshikamano wa Taifa letu. Tumeweza kuuthibitishia ulimwengu kwamba Tanzania ni Taifa imara, himilivu na lenye uwezo wa kushughulikia changamoto zake bila kuingiliwa na mataifa ya nje.

Rais Samia amesisitiza mwaka huu 2026, Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa nchini kwa kuunda Tume ya maridhiano ambapo serikali itashirikiana na wadau wote katika kukubaliana kuhusu muundo wa Tume, aina ya wajumbe, majukumu yao, na muda wa kazi wa Tume hiyo ili Watanzania turidhiane, tuwe wamoja, tusonge mbele pamoja.

Rais Samia ametoa rai kwetu sisi Watanzania, tusikubali tofauti zetu za kiitikadi, kiimani, kidini, na kimitizamo zitugawe na kutupotezea malengo yetu ya maendeleo na ustawi wa Taifa letu kwa fahamu kuwa, tofauti ni sehemu ya demokrasia, lakini zisitumike kuligawa Taifa letu la Tanzania.

Rais Samia amerudia msisitizo, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi moja tuu, ndani ya Jamhuri hiyo kuna uraia mmoja tuu, uraia wa Tanzania na Watanzania wote ni watu wamoja ambao wamejengwa na itikadi ya kuamini kwamba Amani, Umoja na Mshikamano hujenga Uzalendo na ndio virutubisho vinavyotuletea maendeleo endelevu na ustawi wa Watanzania.

Mwaka 2026 Tanzania itaendelea kuimarisha na kudumisha ushirikiano wa kimataifa na kikanda. Vilevile, Tanzania itaendelea kutumia Diplomasia ya Uchumi kuvutia uwekezaji, kukuza biashara na kujenga ustawi wa watu wake, sambamba na kusimamia ulinzi wa Taifa na mchango wake katika amani na usalama barani Afrika na Duniani kwa ujumla.

Moja kubwa lililonigusa ni jinsi Rais Samia, alivyozungumzia vifo vilivyotokea mwaka 2025 kwa kusema "Watanzania tumepoteza wapendwa wetu", kauli hii ya kuwaita wote waliotangulia mbele ya haki mwaka 2025 kuwa ni wapendwa wetu ni kauli ya faraja sana, kwa Watanzania wote waliopoteza wapendwa wao, kutoka kwa Mriji Mkuu, haijalishi hao wapendwa walikufa katika mazingira gani, binadamu wote ni sawa na ni wapendwa wetu.

Mungu ibariki Tanzania!
Paskali
Kitendo cha kuwaua ndicho kilistahili kufanyiwa! Hata wao hufanya hivyo! Ni jambo la kusikitisha kuona kuwa hhakujutia kilichofanyika,,,, watu wanauawa kisha nasema watanzania ni watulivu! Ni kweli watulivu kwani hakuna ushahidi wowote kuwa waandamanaji walibeba silaha japo anadai kuwa walitaka kuipindua nchi wakiwa mikono mitupu!
Kuhusu katiba alikwisha Sema ni "kijitabu tu"! Tukirejea nyuma enzi za JK aliwahi kusema huko mbele ataweza kutoka rais ambaye hatafuata katiba! Tajiri waliojilimbikizia viongozi wa CCM ndio unawafanya waikatae katiba mpya. Ndio Hao waliotuambia tutumie kwanza miaka mitano kujifunza maana ya katiba! Sijui wanatuonaje watanzania! Mazezeta?
Ushauri wangu kwako, ukikosa jambo la maana la kuandika Boro utupe tafsiri ya wimbo wowote wa machifu wa Kisukuma angalau tutafarajika.
 
Yes tunafanya facts check, na hili ni bandiko la facts check ili kutia shinikizo kuanza kwa mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100 za kwanza za awamu hii

Hapana, ni siku 100 toka kuapishwa, zinatimia sometimes in February 2026
P

Asante Mkuu. Akianzisha ndni ya siku 100 unitag.

Kila akihutubia siku hizi kuna kitu ambacho anapotosha au kudanganya wazi wazi. hata hotuba ya jana tu.
 
Hivi Paskali nyie waandishi wa habari huwa mnafanya FACT CHECK kama wenzetu?

Tanzania vionhoxi huwa wanasema tu kutokana na wakati. Wakati wa kampeni sliahidi pia ataanza mchakato ndani ya siku 100. Sasa imebadilika kuwa ndani ya siku 100 baada ya nwaka mpya ama?

Tangu kampeni zianzebRais amesema mambo mengi tu hasa baada ya MO29. Kati ya hayo mengine amepotosha, amekosea au amesema uongo ( may be bila kudhamilia). Lakini hakuna mwandishi yeyote anayepitia, kusosoa au juhoji zaidi ya kureport tu.

Next time akienda kupokea report ya TUME YAKE anaweza tena kutoa ahadi hiyo hiyo na mkaireport tena bila kuquestion.
unahangaika na mayala , umri wake miguu imeshanza kuuma anasubiria huruma ya gvt hana la kupoteza
 
Wanabodi

Hii ni makala yangu ya kufungulia mwaka kwenye gazeti la Leo la Mwananchi
View attachment 3529792

Makala hii pia imetoka kwenye gazeti la Nipashe Asante Rais Samia Hotuba Mwaka Mpya, Kubwa Kuliko Yote ni la Kuanza kwa Mchakato wa Katiba Mpya Ndani ya Siku 100, Itawezekana?

Hii ni Makala yangu ya kwanza kwa mwaka huu, 2026, hivyo naomba kuanza kwa kuwatakia heri ya Mwaka Mpya na kumshukuru Mungu kwa kutujalia neema kuuona mwaka.

Nauanza mwaka kwa kuidurusu sehemu ya hotuba ya Mhe. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan ya kufungia mwaka 2025 aliyoitoa siku ya mkesha wa mwaka mpya, Jumatano iliyopita, kwangu ndio mada ya kuanzia mwaka.

Kwenye hotuba hiyo, kuna vitu vingi muhimu rais Samia amevizungumzia, ila vingine muhimu zaidi, rais Samia hakuvizungumzia, hivyo hii ni makala ya swali kuwa kwa mwaka 2026, kitu muhimu kuliko vyote ni kuanza kwa mchakato wa katiba mpya, ambapo Rais Samia akilihutubia Bunge aliahidi mchakato wa katiba mpya utaanza ndani ya siku 100 za kwanza za awamu hii, lakini kwa vile mambo ni mengi umebaki mwezi mmoja kutimia siku 100 za kwanza je hili la katiba litakuwepo?.

Rais Samia amezungumzia uchumi wa nchi yetu, amesema nchi yetu inaendelea kupiga hatua kubwa za kimaendeleo katika sekta mbalimbali kuboresha maisha ya watu kwa shughuli mbalimbali za maendeleo.

Serikali yetu imekuwa ikiendelea kuchukua hatua madhubuti za kuimarisha uchumi wa Taifa, ikiwemo kudhibiti mfumuko wa bei hasa bei za bidhaa kikiwemo chakula na pato la taifa kukua kwa asilimia 6% kutoka asilimia 5.2% mwaka 2024 mpaka asilimia 5.8% mwaka 2025.

Hata hivyo ukuaji huu wa uchumi hauakisi uchumi wa mtu mmoja mmoja, hivyo huku mtaani, hali ni ngumu.

Hali hii ya ugumu wa maisha mtaani, inatokana na ukuaji huu wa uchumi umetokana na uwekezaji wa serikali katika miradi mikubwa ya kimkakati ya miundombinu, pamoja na mchango mkubwa wa sekta za madini, ujenzi, na sekta ya fedha na huduma, ikiwemo utalii, ambako karibu kote wakandarasi ni kampuni za kigeni ambazo fedha hizo zinakwenda kurejea makwao badala ya kuingia kwenye mzunguko wetu, uwekezaji wenye mrejesho mkubwa ni kwenye sekta ya kilimo ambayo ndio sekta tegemeo kwa wengi bado sio mkubwa kivile.

Kitu kizuri kuhusu mwaka huu, ni mwaka wa kuanza utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya Mwaka 2050, ambapo serikali itaendelea kutekeleza Mkakati wa Muda wa Kati wa miaka mitatu (2026, 2027 na 2028), wa kuongeza mapato ya serikali kwa kuimarisha matumizi ya mifumo ya kielektroniki katika kukusanya mapato, katika kufanya malipo, na kuongeza umakini katika usimamizi wa fedha na rasilimali za umma, hili ambalo ni jambo jema.

Jambo moja kubwa linalosubiriwa kwa hamu kubwa ni kuanza kwa mchakato wa katiba mpya kama ilivyoelezwa kwenye Dira ya Taifa, na kwenye Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo Rais Samia akilihutubia Bunge, alisema mchakato huu utaanza ndani ya siku mia moja (100) za kwanza za awamu hii ambazo zitatimu mwezi Februari mwaka huu, japo kwenye hotuba hii, Rais Samia hakurejelea kuanza kwa mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100 za kwanza, sasa kumeibuka mchakato wa kuundwa kwa tume ya maridhiano, hivyo hili la mchakato wa katiba ndani ya siku 100 za kwanza sijui kama litawezekana, ila katiba mpya ndilo jambo muhimu zaidi kwa taifa letu kwa sasa kuliko jambo jingine lolote.

Si wengi wanakijua chanzo halisi cha zile vurugu za October 29, zilichangiwa na kutokufanyika kwa minimum reforms za katiba ambacho ni kitu kidogo, lakini matokeo yake ndio kile kilichotokea.

Rais Samia ametusisitiza kufanya kazi kwa bidii, mshikamano, na uzalendo, na kutimizwa kwa malengo tuliyojiwekea, kuleta uendelevu wa maendeleo yetu, hivyo serikali itachukua hatua za kimkakati kuweka mazingira rafiki ya kisera, kisheria na kiutendaji yatakayoongeza fursa za biashara, uwekezaji na fursa nyingine za kiuchumi, kijamii na kisiasa kwa Watanzania wote huku tukiendelea kuvutia wawekezaji kutoka nje ya nchi bila kusahau wajibu wetu wa kulinda rasilimali za nchi ili zitumike kwa manufaa ya Taifa.

Rais Samia amesisitiza uwepo wa utulivu wa kisiasa na hali ya amani na usalama kwa kukumbushia changamoto na mitihani iliyotugusa mwezi Oktoba, kwenye uchaguzi mkuu wetu, amekiri ni tulipitia nyakati ngumu zinazohitaji subira, mshikamano na uzalendo, japo kwa maoni yangu zile vurugu zilikuwa zinaepukika kama serikali yetu ingekuwa sikivu na kusikiliza ushauri.

Rais Samia amevishukuru kwa dhati vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na wananchi wote kwa ujumla, kwa kuendelea kudumisha amani, umoja na mshikamano wa Taifa letu. Tumeweza kuuthibitishia ulimwengu kwamba Tanzania ni Taifa imara, himilivu na lenye uwezo wa kushughulikia changamoto zake bila kuingiliwa na mataifa ya nje.

Rais Samia amesisitiza mwaka huu 2026, Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa nchini kwa kuunda Tume ya maridhiano ambapo serikali itashirikiana na wadau wote katika kukubaliana kuhusu muundo wa Tume, aina ya wajumbe, majukumu yao, na muda wa kazi wa Tume hiyo ili Watanzania turidhiane, tuwe wamoja, tusonge mbele pamoja.

Rais Samia ametoa rai kwetu sisi Watanzania, tusikubali tofauti zetu za kiitikadi, kiimani, kidini, na kimitizamo zitugawe na kutupotezea malengo yetu ya maendeleo na ustawi wa Taifa letu kwa fahamu kuwa, tofauti ni sehemu ya demokrasia, lakini zisitumike kuligawa Taifa letu la Tanzania.

Rais Samia amerudia msisitizo, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi moja tuu, ndani ya Jamhuri hiyo kuna uraia mmoja tuu, uraia wa Tanzania na Watanzania wote ni watu wamoja ambao wamejengwa na itikadi ya kuamini kwamba Amani, Umoja na Mshikamano hujenga Uzalendo na ndio virutubisho vinavyotuletea maendeleo endelevu na ustawi wa Watanzania.

Mwaka 2026 Tanzania itaendelea kuimarisha na kudumisha ushirikiano wa kimataifa na kikanda. Vilevile, Tanzania itaendelea kutumia Diplomasia ya Uchumi kuvutia uwekezaji, kukuza biashara na kujenga ustawi wa watu wake, sambamba na kusimamia ulinzi wa Taifa na mchango wake katika amani na usalama barani Afrika na Duniani kwa ujumla.

Moja kubwa lililonigusa ni jinsi Rais Samia, alivyozungumzia vifo vilivyotokea mwaka 2025 kwa kusema "Watanzania tumepoteza wapendwa wetu", kauli hii ya kuwaita wote waliotangulia mbele ya haki mwaka 2025 kuwa ni wapendwa wetu ni kauli ya faraja sana, kwa Watanzania wote waliopoteza wapendwa wao, kutoka kwa Mriji Mkuu, haijalishi hao wapendwa walikufa katika mazingira gani, binadamu wote ni sawa na ni wapendwa wetu.

Mungu ibariki Tanzania!
Paskali
Hadi january 29,ni tisini mia salia kumi,kisingizio tume ya chande,yangu masikio kuonea macho yanasikiliza!
 
siku 100 alidhani ni mwaka haya sasa
 
Mwanabodi Paskali

Nia ni Ile Ile, na CCM ni Ile Ile, ebu tujikumbushe ahadi kadhaa zililongwa.. na zikatendwa...

Tume ya Haki Jinai
Tume Huru ya Uchaguzi
Maridhiano ya kisasa
Uchaguzi Huru 2024/2025.

Kuna msemo kadiri mambo yanavibadilika ndivyo yanavyobakia mule mule.
 
Hilo la Katiba linasubiri Tume ya Chande ikamilishe mapishi ya taarifa yake. Makabrasha yatawasilishwa jumba jeupe. Uzuri prof Kabudi yupo huko, huo mzigo na Katiba mpya akabebeshwa yeye ahangaike nalo. Muda wa wasomi udsm Kula milkshakes
 
Kwa kitendo alichokifanya kwenye tume ya uchaguzi, nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama huyu mama ana nia njema na nchi ya Tanganyika, na pia anaweza kuiletea nchi yetu Katiba ya wnanchi! Na hivyo kuondokana na ile takataka ya ccm ya mwaka 1977.
 
Au sio kwahiyo unashangaa kwanni mchakato haujaanza !?
 
Moja kubwa lililonigusa ni jinsi Rais Samia, alivyozungumzia vifo vilivyotokea mwaka 2025 kwa kusema "Watanzania tumepoteza wapendwa wetu", kauli hii ya kuwaita wote waliotangulia mbele ya haki mwaka 2025 kuwa ni wapendwa wetu ni kauli ya faraja sana, kwa Watanzania wote waliopoteza wapendwa wao, kutoka kwa Mriji Mkuu, haijalishi haoz wapendwa walikufa katika mazingira gani, binadamu wote ni sawa na ni wapendwa wetu.

Mungu ibariki Tanzania!
Paskali
Dalili mojawapo ya kuzeeka ni kuamini ahadi za viongozi matapeli. Yaani uzee wako unakuja kwa kasi.
 
Mzee nimekuchoka sasa ,kifutacho ni kuanza kukupiga spana , nini umebaki nacho huko ccm? Kama sio endelelea jidhalilisha kwa ujee wako ulionao , nimekuchukia kwa sasa
 
Kwenye zile ahadi zake za siku 100 hakuna alilofanya hata moja likatimia au kuanza kabisa ndio kwanza muda wa ahadi ushakatika zaidi ya 70%, alilofanikiwa kufanya ni mauwaji ya maelfu ya watu, ubakaji na utekaji, ubambikizaji wa kesi, wizi wa rasilimali, kugawana vyeo vya Umma, kusambaza vitisho kwa raia, vichambo na majigambo dhidi ya raia, na la zaidi kujificha ikulu/makambi ya Jeshi akiogopa kukutana na raia waliompigia 97% ya kura.

Anaemsifia huyu shetani wa kizimkazi ni msaliti wa haki+wajibu kwa watanzania, wewe mwenye kazi ya kumpamba na kumsafisha huyu kibaka na genge lake, unapoteza muda maana hatokusaidia chochote ktk huu muda wake mchache uliobaki kukaa IKULU.
 
Hawa vibaka wanaojiita tume ilitakiwa wafukuzwe kabisa wakikanyaga huko mitaani , ni upotevu wa kodi za wananchi tu.
Screenshot_20260105-085755~2.png
 
Mwanabodi Paskali

Nia ni Ile Ile, na CCM ni Ile Ile, ebu tujikumbushe ahadi kadhaa zililongwa.. na zikatendwa...

Tume ya Haki Jinai
Tume Huru ya Uchaguzi
Maridhiano ya kisasa
Uchaguzi Huru 2024/2025.

Kuna msemo kadiri mambo yanavibadilika ndivyo yanavyobakia mule mule.
Wadanganye watoto hata waliokwisha anza kunyonya bila usaidizi, usiwadanganye ,ila watafutie jambo lenye uhalisia na mahitaji yao!
 
Back
Top Bottom