Midumare Ngatuni Iwato
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 1,653
- 2,045
Kumbe mnajuana eeh! Vipi kuhusu wapalestina?Nilipata kuandika ukoo wao wa kiria niaina gani ya koo
Wakaufuta
Kiria uchaggani kwetu Ni aina yako Dogo sana yenye hazi yachini sana
Asili yakazi zao uchaggani nikufua vyuma
Sisi Koo ya Mushi Kimboka yakimangi sina haturuhusiwi kuwaoa hao kbsa
Wakishatajirika wanajiita moria
shida kiria ndio kaoa na hii ni shida ya kulzimisha ndoaAcheni kumshambulia Kiria, someni maandiko.
Biblia Takatifu katika kitabu cha Yoshua Bin Sira 25:22 inaasa vijana wajitambue na kujishughulisha. Katika mstari huo, imeandikwa: "Kuna utumwa mzito, na fedheha, iwapo mwanamke humlisha mumewe".
Msikimbilie kumlaumu huyo mwanamke mlaumuni huyo mumewe!
Unajichanganya mwenyewe kitu ambacho hakijatimia kiko sawa?Umechanganya maana ya maneno. Vitabu 66 havina kasoro bali havijatimia kwenye idadi ya vitabu vilivyotumiwa na wakristu wa mwanzo. Kumbuka hata yale matoleo ya Paulines yenye vitabu vya agano jipya na Zaburi tu havina kasoro bali havina idadi kamilia ya vitabu vya biblia.
Vimepachikwa na wajanja waliojaliwa ujanja huo na Roho Mtakatifu. Mfano wa vilivyopachikwa ni hicho ambachako kinatoa maelezo ya malezi ya vijana. Kutokana na ubora wa maelezo hayo ni dhahiri hiyo haiwezi kuwa kazi ya kibinadamu bali mjanja wa wajanja, Roho Mtakatifu.Unajichanganya mwenyewe kitu ambacho hakijatimia kiko sawa?
Biblia ya vitabu 66 imetimia na hakuna mstari unaodai ujazo kwenye vitabu 6 vilivyoachwa au kupachikwa na wajanja wa zaman
Soon naye atahamia CCMHili suala lishaanza kugeuka kuwa na siasa na wanasiasa ndani yake.
Hahaaaa sura gani tenaSakata limechukua sura mpya, wacha tutege yetu masikio.
Ngoja nikae hapa mbele nisikilize vizuri mjadalaHivi kweli mtu anayejiita Super woman anawezaje kulalamika mitandaoni...Kuwa anatunza Familiya Peke yake ...ambayo familiya yenyewe ni ya watoto wawili....hii inasaound kweli.
Yaani Bongo...full vituko ..mtu anajiita super woman ...alafu anashindwa kulea watoto wawili. Hii inatia aibu kwa upande wangu.
Yaani kulea watoto wawili wadogo wenye umri kati ya miaka 7/ na 5/ ambao hata msosi wanaokula niwakawaida sana....hii hatari.
Watu wamikoani uwo ushamba wenu msiulete dar...msifikili mtu kuwa na Dow mpaka ailete muile nyote.
Haya maisha unabid urelax..we mwenyewe kwanza then watoto ndo wanafuatia..maana ukifa hakuna anayeweza kukumbuka ...Hata kukuombea dua tu wanashindwa.
Okole nolya omusika tasima/Abalizalwa balilya ebyabo..