Waungwana wamvaa Joyce Kiria

Waungwana wamvaa Joyce Kiria

Nilipata kuandika ukoo wao wa kiria niaina gani ya koo
Wakaufuta
Kiria uchaggani kwetu Ni aina yako Dogo sana yenye hazi yachini sana
Asili yakazi zao uchaggani nikufua vyuma
Sisi Koo ya Mushi Kimboka yakimangi sina haturuhusiwi kuwaoa hao kbsa
Wakishatajirika wanajiita moria
 
Kumbe mnajuana eeh! Vipi kuhusu wapalestina?
 
basi wanaume wenye mgogoro na wake zao ,ndio wameona Joyce ndio mtu wa kushusha mafrustrations yao...what a shame...
 
Acheni kumshambulia Kiria, someni maandiko.
Biblia Takatifu katika kitabu cha Yoshua Bin Sira 25:22 inaasa vijana wajitambue na kujishughulisha. Katika mstari huo, imeandikwa: "Kuna utumwa mzito, na fedheha, iwapo mwanamke humlisha mumewe".
Msikimbilie kumlaumu huyo mwanamke mlaumuni huyo mumewe!
shida kiria ndio kaoa na hii ni shida ya kulzimisha ndoa
 
ningependa kusikia mama samia anasemaje kuhusu hili ila hawa ambao wanatoa hela kwa mwanaume mmoja hela wanapeleka kwa mwanaume mwingine na kujidai wao ndio wanalipa matumizi siwasikilizi.huyo dada mwenyewe ana uzuri gani jicho kama mchina wa kariakoo.kuoa watu kama hawa ni sawa na kuoa mbunge aliyechaguliwa na wanachi baadaye akahama chama na anataka agombee tena.unajua kuna kipindi huwa nafikiri au naamini hata Mungu hapendi wanawake wengine wapate hela kuliko waume zao kwa udhaifu kama huu.kuna kinamamama wana hela na wapo kimya na ndoa inaenda
 
Halafu alivyo mpuuzi anajifanya role model eti anaelimisha, yaani bwege sana anajilinganisha na akina Oprah ?
 
Umechanganya maana ya maneno. Vitabu 66 havina kasoro bali havijatimia kwenye idadi ya vitabu vilivyotumiwa na wakristu wa mwanzo. Kumbuka hata yale matoleo ya Paulines yenye vitabu vya agano jipya na Zaburi tu havina kasoro bali havina idadi kamilia ya vitabu vya biblia.
Unajichanganya mwenyewe kitu ambacho hakijatimia kiko sawa?
Biblia ya vitabu 66 imetimia na hakuna mstari unaodai ujazo kwenye vitabu 6 vilivyoachwa au kupachikwa na wajanja wa zaman
 
Hili ni fundisho kwa vijana wote wa bavicha na mnaojita wanaharakati fanyeni kazi itakayowaletea manufaa leo na hata badae harakati hazilipi zaidi yakuwanufaisha mabosi akina mbowe

Kama mnabisha endeleeni kupoteza mna mda na hizo harakati fainali mje kuwa akina kilewo
 
Andiko Zuri!Linafunza tusiwabague wa ndani wetu, wala kuwanyanyasa
 
Unajichanganya mwenyewe kitu ambacho hakijatimia kiko sawa?
Biblia ya vitabu 66 imetimia na hakuna mstari unaodai ujazo kwenye vitabu 6 vilivyoachwa au kupachikwa na wajanja wa zaman
Vimepachikwa na wajanja waliojaliwa ujanja huo na Roho Mtakatifu. Mfano wa vilivyopachikwa ni hicho ambachako kinatoa maelezo ya malezi ya vijana. Kutokana na ubora wa maelezo hayo ni dhahiri hiyo haiwezi kuwa kazi ya kibinadamu bali mjanja wa wajanja, Roho Mtakatifu.
 
Sakata limechukua sura mpya, wacha tutege yetu masikio.
 
Mleta Uzi ubarikiwe wewe na uzao wako. Una akili nyingi Sana na Huu ujumbe ni mahususi sana kwa aina ya Wanawake wa joyce kiria.
 
Kabibi kale mkasamehe kamekomaa na stress za kutaka maisha yasiyo yake baada ya ndoto za shopping dubai & paris kuyeyuka kaona aonyeshe rangi yake halisi pia anaishi na Kannada huwezi jua tumbo la joyce limesha wekwa rehani na pesa za manunuzi.
 
Hivi kweli mtu anayejiita Super woman anawezaje kulalamika mitandaoni...Kuwa anatunza Familiya Peke yake ...ambayo familiya yenyewe ni ya watoto wawili....hii inasaound kweli.

Yaani Bongo...full vituko ..mtu anajiita super woman ...alafu anashindwa kulea watoto wawili. Hii inatia aibu kwa upande wangu.

Yaani kulea watoto wawili wadogo wenye umri kati ya miaka 7/ na 5/ ambao hata msosi wanaokula niwakawaida sana....hii hatari.

Watu wamikoani uwo ushamba wenu msiulete dar...msifikili mtu kuwa na Dow mpaka ailete muile nyote.

Haya maisha unabid urelax..we mwenyewe kwanza then watoto ndo wanafuatia..maana ukifa hakuna anayeweza kukumbuka ...Hata kukuombea dua tu wanashindwa.

Okole nolya omusika tasima/Abalizalwa balilya ebyabo..
 
Ngoja nikae hapa mbele nisikilize vizuri mjadala
 
Back
Top Bottom