Waungwana wamvaa Joyce Kiria

Wee dada ambae dar wanakuita mwanaume acha kuramba ramba midomo, kupaka poda, kuvaa skin tight kwetu huku utakuja kurakwaaa kama sio kubakwaaa
 
Wee dada ambae dar wanakuita mwanaume acha kuramba ramba midomo, kupaka poda, kuvaa skin tight kwetu huku utakuja kurakwaaa kama sio kubakwaaa
kwaiyo iyo picha yangu kweny avatar umeona nimevaa vibaya
 
Tumlaumu vp mumewe wkt mwanamke kutwa kucha yupo kwenye mitandao ya kijamii kumuanika mume wake wkt mwenzie kapiga kimya, huyo kiria ndio wa kulaumiwa na atajuta kwa alichokifanya, shubamit
 
Je, kuna ndg kashirikishwa au viongozi wa dini kanisani walikofungia ndoa kabla ya kuja hapa mitandaoni?
 
issue hapa sio kulishwa au kumtunza mume....who is realist ndoa ni mkataba wa watu wawili so ukiona au feel kwamba hapa ni mwisho basi
kuna haja gani ya kuanza kutoa povu kwenye platform kama hii?
shida naiona ipo hapa
01.joyce anataka aabudiwe na mmewe kwa sababu tu kipato chake kikubwa
02.joyce ni limbukeni ikumbukwe kuwa she grew in concrete.and no school (SORRY THIS REALITY)
03 By now joyce is looking for huruma baada ya kuufikiria ubinafsi wake. watu wabinafsi mara nyingi kwenye matatizo huanza kuhesabu mema waliyofanya
 
Wanaoelewa maana ya ndoa na principle zake wameelewa.
 
Acheni kumshambulia Joyce wakati upande wa pili wa mmewe amekuwa newbenten in town
Siku hizi kwenye ndoa Hakuna Siri, uvumilivu, wala kichwa cha familia sijui, Kwa hiyo ukioa au kuolewa elewa hili, Epuka kuingia kwenye Ndoa kwa mbwembwe nyingi, na ndoa siku hizi ni chungu Kama mwanaume huna tujihela kidogo. Final.
 
Nabii Tito mwingine
Biblia gani unayo refer hapa Joshua i
Biblia gani unayo refer hapa? Kitabu cha Joshua kina sura 24 basi!!!
 
Huyu Joyce kama hamtaki mumewe amwambie tu waachane kuliko anavyomdhalilisha kila siku kwenye mitandao kama wana matatizo wayamalize wenyewe watu wasijue
 
Huyu Joyce kama hamtaki mumewe amwambie tu waachane kuliko anavyomdhalilisha kila siku kwenye mitandao kama wana matatizo wayamalize wenyewe watu wasijue
Ndiyo shida ya kuoa hao wanaojiita macelebrity wa Bongp yaani kila kitu kinachoendelea kwenye maisha yao kinawekwa kwenye media. Sasa tofauti ya maceleb wa Marekani na Ulaya wao maisha yao yanakuwa so private. Ukiona kitu kwenye mitandao basi Paparazzi wamefanya kazi kubwa kupata hizo habari tofauti na huku kwetu!!!
 
Kungwi umesema yote tufanyeje sisi! Umemaliza kila kitu!
 
Mungu akubarki,naona kwenu kunafanana na kwetu kabsa, mtoto wa kike nyumbani kwake kwa mumewe co kwa babake, unaporud kwa baba huna nafasi tena, kwanini akili isikukae kichwani?

Ubaya wa baba wengi wa siku hizi wanajali sana binti zao akiona anateseka atamnunulia hata nyumba au amwambie toka kwa hiyo mwanaume so binti wanavimba sana vichwa
 
Hii barua safi kabisa mimi nitaikopi nimtumie kwa fedex toka huku nilipo ili aipate kisawasawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…