Waungwana wamvaa Joyce Kiria

Waungwana wamvaa Joyce Kiria

Wee dada ambae dar wanakuita mwanaume acha kuramba ramba midomo, kupaka poda, kuvaa skin tight kwetu huku utakuja kurakwaaa kama sio kubakwaaa
 
Wee dada ambae dar wanakuita mwanaume acha kuramba ramba midomo, kupaka poda, kuvaa skin tight kwetu huku utakuja kurakwaaa kama sio kubakwaaa
kwaiyo iyo picha yangu kweny avatar umeona nimevaa vibaya
 
Acheni kumshambulia Kiria, someni maandiko.
Biblia Takatifu katika kitabu cha Yoshua Bin Sira 25:22 inaasa vijana wajitambue na kujishughulisha. Katika mstari huo, imeandikwa: "Kuna utumwa mzito, na fedheha, iwapo mwanamke humlisha mumewe".
Msikimbilie kumlaumu huyo mwanamke mlaumuni huyo mumewe!
Tumlaumu vp mumewe wkt mwanamke kutwa kucha yupo kwenye mitandao ya kijamii kumuanika mume wake wkt mwenzie kapiga kimya, huyo kiria ndio wa kulaumiwa na atajuta kwa alichokifanya, shubamit
 
Je, kuna ndg kashirikishwa au viongozi wa dini kanisani walikofungia ndoa kabla ya kuja hapa mitandaoni?
 
Acheni kumshambulia Kiria, someni maandiko.
Biblia Takatifu katika kitabu cha Yoshua Bin Sira 25:22 inaasa vijana wajitambue na kujishughulisha. Katika mstari huo, imeandikwa: "Kuna utumwa mzito, na fedheha, iwapo mwanamke humlisha mumewe".
Msikimbilie kumlaumu huyo mwanamke mlaumuni huyo mumewe!
issue hapa sio kulishwa au kumtunza mume....who is realist ndoa ni mkataba wa watu wawili so ukiona au feel kwamba hapa ni mwisho basi
kuna haja gani ya kuanza kutoa povu kwenye platform kama hii?
shida naiona ipo hapa
01.joyce anataka aabudiwe na mmewe kwa sababu tu kipato chake kikubwa
02.joyce ni limbukeni ikumbukwe kuwa she grew in concrete.and no school (SORRY THIS REALITY)
03 By now joyce is looking for huruma baada ya kuufikiria ubinafsi wake. watu wabinafsi mara nyingi kwenye matatizo huanza kuhesabu mema waliyofanya
 
Wanaoelewa maana ya ndoa na principle zake wameelewa.
 
Acheni kumshambulia Joyce wakati upande wa pili wa mmewe amekuwa newbenten in town
Siku hizi kwenye ndoa Hakuna Siri, uvumilivu, wala kichwa cha familia sijui, Kwa hiyo ukioa au kuolewa elewa hili, Epuka kuingia kwenye Ndoa kwa mbwembwe nyingi, na ndoa siku hizi ni chungu Kama mwanaume huna tujihela kidogo. Final.
 
Nabii Tito mwingine
Biblia gani unayo refer hapa Joshua i
Acheni kumshambulia Kiria, someni maandiko.
Biblia Takatifu katika kitabu cha Yoshua Bin Sira 25:22 inaasa vijana wajitambue na kujishughulisha. Katika mstari huo, imeandikwa: "Kuna utumwa mzito, na fedheha, iwapo mwanamke humlisha mumewe".
Msikimbilie kumlaumu huyo mwanamke mlaumuni huyo mumewe!
Biblia gani unayo refer hapa? Kitabu cha Joshua kina sura 24 basi!!!
 
Huyu Joyce kama hamtaki mumewe amwambie tu waachane kuliko anavyomdhalilisha kila siku kwenye mitandao kama wana matatizo wayamalize wenyewe watu wasijue
 
Huyu Joyce kama hamtaki mumewe amwambie tu waachane kuliko anavyomdhalilisha kila siku kwenye mitandao kama wana matatizo wayamalize wenyewe watu wasijue
Ndiyo shida ya kuoa hao wanaojiita macelebrity wa Bongp yaani kila kitu kinachoendelea kwenye maisha yao kinawekwa kwenye media. Sasa tofauti ya maceleb wa Marekani na Ulaya wao maisha yao yanakuwa so private. Ukiona kitu kwenye mitandao basi Paparazzi wamefanya kazi kubwa kupata hizo habari tofauti na huku kwetu!!!
 
Kungwi umesema yote tufanyeje sisi! Umemaliza kila kitu!
HUU UJUMBE UMFIKIE SUPER FAKE WOMEN (JOYCE KIRIA)

Kwanza kabisa, nianze kwa kusema, kwamba, kwasababu mambo haya ameyaleta (joyce) kwenye mitandao ya kijamii, (public platform) na kwa makusudi kabisa, ili jamii nzima ipate fursa ya kujua yanayo endelea kwenye ndoa ya huyu mwanamke, basi ni haki yetu pia kutoa maoni juu yake na kwa ajili ya wengine.

Lakini kwa leo, nina haya machache sana, kwa huyu mwanamke. Nieleweke kwamba, nimeamua kumuita mwananke na si mke, kutokana na haya yanayo endelea.

Mwanamke Joyce Kiria...

1. Umeutangazia umma, kwamba, mume wako hana kazi, (jobless). Japo ndoa si kazi, yaani ndoa ni kitu huru nje ya jambo lolote lile.

2. Umeutangazia umma, kwamba, mume wako amekupiga mpaka umevilia damu, japo taswira yako haiwezi kuthibitisha hilo.

3. Umeutangazia umma kwamba, wewe ndio unaelipia kodi ya nyumba, kwamba ni dhambi kufanya hivyo kwa mawazo yako.

4. Umeutangazia umma kwamba, ameshindwa kulea familia(wewe na watoto wenu) na kwamba, umekuwa ukiwalea watoto peke yako.

5. Umeutangazia umma kwamba, umeamua kumtangaza, kumchafua na kumdhalilisha mumeo, kupitia mitandao ya kijamii.

6. Umeutangazia umma kwamba, wewe huwezi kutunza siri za watu wengine, na haswa wanawake wanao kuzunguka, kwasababu kama huwezi kutunza siri za mumeo, utawezaje kutunza siri za wanawake wengine? Wanao fuata ushauri wako?

7. Umeutangazia umma kwamba, mwanamke wewe una mdomo kama wa kasuku, huna staha, heshima, adabu, unaona fahari kuivua nguo familia yako mwenyewe, kwasababu ya tamaa zako mwenyewe.

8. Unautangazia umma kwamba, mwanamke wewe unataka kumuongoza mumeo, na mumeo ndio awe mwanamke. Kinyume kabisa na mpango wa Mungu katika ndoa. Unataka jamii ikusaidie kufunda mumeo aongozwe na kutawaliwa na wewe.

Lakini, mwanamke wewe, hujawai kusema hadharani, japo jambo jema walau moja hadharani, wakati mna watoto kadhaa hadi sasa. Kwamba inawezekana tangu mmeoana mpaka leo mna watoto kadhaa, hakuna jambo jema japo moja la mumeo alilowai kukufanyia? Haiwezekani. Utakuwa una tatizo kubwa sana. Unapata wapi ujasiri huu wa kishetani, kuona mabaya tu, na mmeishi miaka yoote hii.

Umeamua kuutangazia umma kwamba, unamchukia mumeo sana. Kama ungelikuwa unampenda mumeo, usingeweza kumtangaza hadharani namna hii. Kama ambavyo yeye hajawai kusema maovu yako hadharani

Mwanamke wewe, katika yoote hayo bado, sijamsikia kabisa mumeo, akisema kitu chochote kile kibaya dhidi yako, japo jambo hili la kumdhalilisha mumeo mbele za umma ukilifanya zaidi ya mara moja sasa.

Mwanamke wewe, wakati unaandika kwenye mitandao mambo ya chumbani kwako, ulifikili huku nje, kuna wanawake wapumbavu kama wewe kwamba, watakuunga mkono na kukusifu kwenye upumbavu wako.

Ulifikili huku nje kuna wanaume wajinga kwamba, wangelikuonea huruma kwenye upumbavu wako.

Mwanamke wewe, umemkosea Mungu, umewakosea wazazi wako na wa mume wako, umeikosea jamii ya Tanzania, umewakosea wanawake ambao umekuwa ukijifanya kuwafunda katika mambo mbalimbali. Umekosea sana, ulicho kipata, ni fedheha kubwa juu yako mwenyewe.

Mwanamke wewe, ulijua unamdhalilisha mumeo, lkn kinyume chake, umemjengea heshima kubwa mbele za umma, huku wana jamii tukisononeka sana jinsi mumeo alivyo pata shetani ndani ya maisha yake.

Joyce kiria, ninakukumbusha maneno haya machache sana, yatafakari katika maisha yako, huenda yakakusaidia.

1. Ndoa ni ya watu wawili tu. Hakuna baba, mama, shangazi, mjomba au mwingine yoyote.

2. Mwanamke mpumbavu (sio mwanaume) huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Mdomo wako unakuponza.

3. Ndoa iheshimiwe na watu woote. Ukiwemo wewe mwenyewe. Kama huwezi kuiheshimu ndoa yako mwenyewe, sisi wengine tutaiheshimuje? Si unaona ninavyo kushughulikia!!

4. Ndoa ni upendo, na upendo huvumilia, hauhesabu mabaya, hautakabari, hauoni uchungu, huchukuliana na yoote. Kwasababu hii, unaitaji kutubu mbele za Mumeo na mbele za mwanzilishi wa ndoa mwenyewe. Mungu alie hai. Huwezi kufanikiwa tena kama hujarekebisha na mumeo.

5. Chukua nafasi yako kama mwanamke kwenye ndoa yako. Chochote kile kisikufanye ujione umestahili kuwa kiongozi wa mumeo. Huna haki ya kuwa kiongozi wa mumeo kwasababu alieanzisha ndoa alisha andika hivyo.

6. Jifunze kwa wazazi wako na watu waliofanikiwa sana katika ndoa zao. Kwanini wao wameweza kudumu katika ndoa zao, unaweza kuiponya ndoa yako.

Leo niishie hapa...ukiwa hujaoa au kuolewa, unaweza usinielewe mapema, basi nakusihi uwe mpole tu. Ukiwa umezoea kuchukua waume za watu, ukahaba, huwezi kufuraishwa na ujumbe huu, nawe nakusihi pita tuu, hapa tunashughulika na super woman fake.

Am Out
 
Mungu akubarki,naona kwenu kunafanana na kwetu kabsa, mtoto wa kike nyumbani kwake kwa mumewe co kwa babake, unaporud kwa baba huna nafasi tena, kwanini akili isikukae kichwani?

Ubaya wa baba wengi wa siku hizi wanajali sana binti zao akiona anateseka atamnunulia hata nyumba au amwambie toka kwa hiyo mwanaume so binti wanavimba sana vichwa
 
Hii barua safi kabisa mimi nitaikopi nimtumie kwa fedex toka huku nilipo ili aipate kisawasawa
 
Back
Top Bottom