Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi anamuoa joyce alikua mfanya biashara?Kileo haumwi, hajapata ajali, na kazi aliyoichagua ni siasa ambayo ndo anafanya hata sasa. Kwa hiyo lazima tushangae tukisikia mwanaume huyo analishwa na mkewe.
Unaisoma biblia vizuri?! Au unachungulia unaona kimstari kinaangazia kile unataka kuamini unaenda nacho?! Hakuna eneo kwenye biblia linasema hayo.. Ayubu aliishiwa kabisa... Akafilisika.. Mkewe hakuenda kusema wala kumkataa.. Alimtunzia heshima yake maana ndio wajibu..Nani aliyekufundisha kuwa biblia haisomwi kwa mstari? Hiyo hoja yako inaonesha uelewa wako wa maandiko. Ili ujue kuwa hiyo tafsiri yako ni potofu rejea mahojiano ya Yesu Kristo na shetani alivyokuwa akijaribiwa kule jangwani. Kristo hakumjibu shetani kwa paragraph bali kwa mistari. Hata hivyo biblia inaeleza kuwa kila neno lenye pumzi lafaa kwa mafundisho.
Which religion do you refer to? Aren't you away that religions are not uniform? If you think a religion is like a pe.nis and that you ought to keep it hidden, it's a bad luck. It is a bad luck because a real man doesn't hide his pe.nis to himself. He uses it for reproduction henceforth he exposes it to his wife.
Unapata shida Bure.. Njia yako ya maisha ndio dini yako. Ameamua kiamini novel na anaenda na hamsini zake good for him... Umeamua kuvaa hirizi ...na unaenda na hamsini zako good for you..Yeah, your religion is like a penis, don't blab about it to the public because no body care about, only you.
Religion is like a penis, don't press it to children, that's abuse.
Kuna mfano mingi tu. Msitusumbue kwenye majukwaa haya na imani zenu kwasababu sio watu wote wanaomini habari za kutoka kwenye novel zenu takatifu
Subir nifunue Bible!Acheni kumshambulia Kiria, someni maandiko.
Biblia Takatifu katika kitabu cha Yoshua Bin Sira 25:22 inaasa vijana wajitambue na kujishughulisha. Katika mstari huo, imeandikwa: "Kuna utumwa mzito, na fedheha, iwapo mwanamke humlisha mumewe".
Msikimbilie kumlaumu huyo mwanamke mlaumuni huyo mumewe!
JF ni hatar tupu!Hahaa. Nilitegemea wiki hii nisikie Mfalme na mama mfalme wamemchangia milioni 15 Joyce Kiria kama alivyochangiwa Wastara... Mwee kilio chake kama cha samaki. Hakuna hata aliyemchangia buku.
Ulichokiandka pia kina maana sana!Eti mwanaharakati wa masuala ya wanawake,,,laana zingine mnajitafutia tu,,,Ndoa za wazazi wetu zilidumu miaka mingi na hao wanaharakati hawakuwepo,,mama zetu walipewa vipigo to the maximum,,akitoroka kurudi kwao nako alipokelewa kwa kipigo na kurudishwa kwa mmewe,, Sahivi wanawake wanaishi wanavyotaka,,ukimgusa kofi tu kesho yake yupo usitawi wa Jamii anataka mgawane mali. Hit and run ni dawa nzuri sana ya wanawake Wasiojitambua.
Acha kudanganya watu ww,mm ni Mkristo lkn,Kanisa Katoliki ni tawi kubwa la Lucifer kwa kuwa yote yanayofundishwa ndani ya kanisa Katoliki ni Luciferous teachings na muda siyo mrefu wataifanyia Biblia yao editing ili iruhusu ushoga na usagaji!Biblia iliyokamilika inapatikana kwenye kanisa takatifu katoliki la mitume. Huko ndo yaliko mamlaka ya kufungua na kufunga aliyokabidhiwa Mtume Petro. Huko ndo vilifungwa vitabu 72 kuwa neno la Mungu na kuviacha mamia ya vingine kuwa mapokeo yafaayo kunakishi misingi ya ukristu.
Ni wap katika biblia ya vitabu 66 kuna kasoro kana kwamba ililazimu viongezwe 6 ili kutimiza 72?nithibitishie niaminiNdugu hiyo ndiyo biblia iliyokamilika. Kwa taarifa yako, hicho kitabu cha Yoshua bin Sira ni miongoni mwa vitabu vinanyoitwa deutrokanoni. Hivi vitabu ndivyo vinaifanya biblia takatifu kuwa na vitabu 72, ndiyo inayotumiwa na Kanisa Katoliki. Vitabu hivi viliondolewa kwenye orodha na Martin Luther. Lakini sasa hata makanisa ya kiprotestant yameshaviridhia hatua iliyopelekea kuvichapisha kwenye baadhi ya matoleo mapya. Itafute biblia hiyo ili ulipate neno la Mungu kwa ukamilifu wake.
Haya uliyoyaandika umeyaandika kwa ufasha mithili ya mtu aliyefunuliwa na Lucifer mwenyewe. Bahati mbaya mipango ya Lucifer haijawahi kufanikiwa.Acha kudanganya watu ww,mm ni Mkristo lkn,Kanisa Katoliki ni tawi kubwa la Lucifer kwa kuwa yote yanayofundishwa ndani ya kanisa Katoliki ni Luciferous teachings na muda siyo mrefu wataifanyia Biblia yao editing ili iruhusu ushoga na usagaji!
Umechanganya maana ya maneno. Vitabu 66 havina kasoro bali havijatimia kwenye idadi ya vitabu vilivyotumiwa na wakristu wa mwanzo. Kumbuka hata yale matoleo ya Paulines yenye vitabu vya agano jipya na Zaburi tu havina kasoro bali havina idadi kamilia ya vitabu vya biblia.Ni wap katika biblia ya vitabu 66 kuna kasoro kana kwamba ililazimu viongezwe 6 ili kutimiza 72?nithibitishie niamini
Acheni kumshambulia Kiria, someni maandiko.
Biblia Takatifu katika kitabu cha Yoshua Bin Sira 25:22 inaasa vijana wajitambue na kujishughulisha. Katika mstari huo, imeandikwa: "Kuna utumwa mzito, na fedheha, iwapo mwanamke humlisha mumewe".
Msikimbilie kumlaumu huyo mwanamke mlaumuni huyo mumewe!