Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Biashara mwanzo lazima uilee.
Utoe mkononi.
Nakumbuka siku ya kwanza niliuza 14,000.
Hiyo 14,000 natakiwa nitoe posho ya vijana 6,000.
Inayobaki hata kukava variable costs tu haiwezi.
Yes.Tule tumishkaki bhana mi naona mtaji ni nyama na mkaa tu.Maana hata stick zake za kuchomekea nyama ni zile chelewa.
Sana.Kwenye biashara usipotuliza kichwa your finished!
We jamaa bana, mchokozi sana asee[emoji28][emoji28]Wewe dogo utaendelea kuulizia kila aina ya biashara mpk unazeeka nakwambia.
You DON'T WALK THE TALK,u keep talkin' talkin' talkin' .Mipango miingi utekelezaji ZERO.
Kwa hiyo unamshauri October man apunguze gharama?Tule tumishkaki bhana mi naona mtaji ni nyama na mkaa tu.Maana hata stick zake za kuchomekea nyama ni zile chelewa.
mzee nyama za kuchomea mishkaki unayoiona mtaani sio nyama za buchan. hz huwa znauzwa kwa mafungu. ni nyama za ndani ya utumbo wa ng'ombe.Kilomoja 6000
Others 4000+
Total Mtaji 10,000
Depend na ulaji wa soko, hapo unatoa mishikaki 100 kamili.
100(bei)×100(idadi)= 10,000 Tzs.
10,000(Mapato)-10,000(Mtaji)= 00.
Hapo umepunguza ghalama mpaka mwisho.
Nafikiri una siku ya 3 au ya 4 leo.Kilomoja 6000
Others 4000+
Total Mtaji 10,000
Depend na ulaji wa soko, hapo unatoa mishikaki 100 kamili.
100(bei)×100(idadi)= 10,000 Tzs.
10,000(Mapato)-10,000(Mtaji)= 00.
Hapo umepunguza ghalama mpaka mwisho.
Wewe ndo umesema sasa.mzee nyama za kuchomea mishkaki unayoiona mtaani sio nyama za buchan. hz huwa znauzwa kwa mafungu. ni nyama za ndani ya utumbo wa ng'ombe.
hawanunui nyama buchani afu ile mishkak naonaga kama maeneo meng inauzwa 200 sio 100. au n wapi huko wanauza 100?Hivi wale wanaouzaga mishkaki ya mia mia faida wanapata wapi?
Chunguza kiundani biashara.
Apunguze tu mama.Atleast ataiona faida.Kwa hiyo unamshauri October man apunguze gharama?
Na kama sikosei zile nyama za machinjioni.
stick za chelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duhTule tumishkaki bhana mi naona mtaji ni nyama na mkaa tu.Maana hata stick zake za kuchomekea nyama ni zile chelewa.
Kipindi nipo Kijichi nilikuwa naona wanaiuza mia mia.hawanunui nyama buchani afu ile mishkak naonaga kama maeneo meng inauzwa 200 sio 100. au n wapi huko wanauza 100?
Every cent count mkuu.stick za chelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duh
zle stick znauzwa mzee kamfuko buku. kwenye kamfuko zko kama 50 hv if am not mistaken
Kiukweli na utu uzima wangu huu sijawahi simama hata kuulizia hiyo mishkaki bei.hawanunui nyama buchani afu ile mishkak naonaga kama maeneo meng inauzwa 200 sio 100. au n wapi huko wanauza 100?
Unasemea zile stick ndefu zina rangi ya mbao hivi?stick za chelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duh
zle stick znauzwa mzee kamfuko buku. kwenye kamfuko zko kama 50 hv if am not mistaken
ok labda maeneo hayo ila mitaa mingi town naona 200Kipindi nipo Kijichi nilikuwa naona wanaiuza mia mia.
anyway atasave ila kumbka fimbo ya chelewa n nyepesi na lain sana kuvunjika but anaweza kujaribuEvery cent count mkuu.
Buku moja kwa 50 ni sh 20 kwa kila penye sh mia.
Sasa akiweza kupata chelewa lets say kwa sh moja katika kila sh 100.
Atasave pesa mingi.
Hizi biashara za mia mia unatakiwa uwe na uzalishaji mkubwa na uijue kila cent ndo utaona faida.
yesUnasemea zile stick ndefu zina rangi ya mbao hivi?
yeah naonaga kama bei elekezi n 200 na kuna baadh ya maeneo mfano big brother wanauza mmoja 300Kiukweli na utu uzima wangu huu sijawahi simama hata kuulizia hiyo mishkaki bei.
Lakini mimi najuaga sh mia mia labda kama imepanda bei.
Utakuwa upo sahihi.Maana mitaa niliyoishi mimi ni kama uswahilini hivi.Ila wenyewe hawakutumia hizo walikuwa wanatumia ambazo zipo kama chelewa hivi.