Wauza biashara shule za msingi Arusha

Wauza biashara shule za msingi Arusha

Tule tumishkaki bhana mi naona mtaji ni nyama na mkaa tu.Maana hata stick zake za kuchomekea nyama ni zile chelewa.
Yes.
Na nyama siyo za buchani kilo 6,000.
Nyama za machinjioni huko sijui marapurapu.

Biashara usipoijua kiundani utakula hasara sana, mimi mwanzo naanza nilipigwa vitu vingi sana yaani
Yaani nilipigwa mno lakini nikafukunyua huku na huku mpaka nikajua kwa undani zaidi.

Fikiria ni biashara ambayo ina kamwa mwaka.
Nilifunga sababu ya corona nimefungua lakini mauzo yameshuka mno yameshuka mno. Yaani ni kurudisha gharama tu za uzalishaji lakini naelewa najua baada ya wiki 2 au tatu itarudi kwenye mstari.
 
Kwenye biashara usipotuliza kichwa your finished!
Sana.
La sivyo utahangaika huku na huku na huku. Siku mbili huku siku mbili zijazo huku.

Kupata hasara mwanzoni ni kawaida anatakiwa asome mchezo na kuumiza kichwa na kuchimba kwa undani mno wenzake wanafanyaje kupata faida.
 
Kilomoja 6000
Others 4000+
Total Mtaji 10,000
Depend na ulaji wa soko, hapo unatoa mishikaki 100 kamili.

100(bei)×100(idadi)= 10,000 Tzs.

10,000(Mapato)-10,000(Mtaji)= 00.

Hapo umepunguza ghalama mpaka mwisho.
mzee nyama za kuchomea mishkaki unayoiona mtaani sio nyama za buchan. hz huwa znauzwa kwa mafungu. ni nyama za ndani ya utumbo wa ng'ombe.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kilomoja 6000
Others 4000+
Total Mtaji 10,000
Depend na ulaji wa soko, hapo unatoa mishikaki 100 kamili.

100(bei)×100(idadi)= 10,000 Tzs.

10,000(Mapato)-10,000(Mtaji)= 00.

Hapo umepunguza ghalama mpaka mwisho.
Nafikiri una siku ya 3 au ya 4 leo.
Sasa ukianza kutafuta faida itakula kwako.

Wewe shukuru hata mwanzoni inakurudishia gharama maana yake ni mwanzo mzuri.

Biashara kama yangu unaweza kulia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tule tumishkaki bhana mi naona mtaji ni nyama na mkaa tu.Maana hata stick zake za kuchomekea nyama ni zile chelewa.
stick za chelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duh
zle stick znauzwa mzee kamfuko buku. kwenye kamfuko zko kama 50 hv if am not mistaken
 
  • Thanks
Reactions: amu
stick za chelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duh
zle stick znauzwa mzee kamfuko buku. kwenye kamfuko zko kama 50 hv if am not mistaken
Every cent count mkuu.
Buku moja kwa 50 ni sh 20 kwa kila penye sh mia.

Sasa akiweza kupata chelewa lets say kwa sh moja katika kila sh 100.

Atasave pesa mingi.

Hizi biashara za mia mia unatakiwa uwe na uzalishaji mkubwa na uijue kila cent ndo utaona faida.
 
hawanunui nyama buchani afu ile mishkak naonaga kama maeneo meng inauzwa 200 sio 100. au n wapi huko wanauza 100?
Kiukweli na utu uzima wangu huu sijawahi simama hata kuulizia hiyo mishkaki bei.

Lakini mimi najuaga sh mia mia labda kama imepanda bei.
 
stick za chelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duh
zle stick znauzwa mzee kamfuko buku. kwenye kamfuko zko kama 50 hv if am not mistaken
Unasemea zile stick ndefu zina rangi ya mbao hivi?
 
Every cent count mkuu.
Buku moja kwa 50 ni sh 20 kwa kila penye sh mia.

Sasa akiweza kupata chelewa lets say kwa sh moja katika kila sh 100.

Atasave pesa mingi.

Hizi biashara za mia mia unatakiwa uwe na uzalishaji mkubwa na uijue kila cent ndo utaona faida.
anyway atasave ila kumbka fimbo ya chelewa n nyepesi na lain sana kuvunjika but anaweza kujaribu
 
Kiukweli na utu uzima wangu huu sijawahi simama hata kuulizia hiyo mishkaki bei.

Lakini mimi najuaga sh mia mia labda kama imepanda bei.
yeah naonaga kama bei elekezi n 200 na kuna baadh ya maeneo mfano big brother wanauza mmoja 300
miwili 500
 
Back
Top Bottom