Tupo Mkuu..Humu hakuna wauza chips sasa
Dah,Ukwaju mwingi umesahau
Achana nae huyo dogo.usukuma unamsumbuaTupo Mkuu..
Kwa niaba ya wauza Chips wenzangu ningependa kuomba radhi Kwa Ndugu yetu pamoja na wengine wote tuliowakwaza, tunaahidi kujirekebisha kuanzia Leo.
Imetolewa na Idara ya Mawasiliano - Huduma Kwa Wateja.
Chama Cha Wauza Chips Tanzania.
Amiba pia, unaharisha karibu na kufaKachumbari za wauza Chips wengi zinasababisha Typhoid na H-pylori,
Umejuaje kuwa hawapo?Humu hakuna wauza chips sasa
๐Tupo Mkuu..
Kwa niaba ya wauza Chips wenzangu ningependa kuomba radhi Kwa Ndugu yetu pamoja na wengine wote tuliowakwaza, tunaahidi kujirekebisha kuanzia Leo.
Imetolewa na Idara ya Mawasiliano - Huduma Kwa Wateja.
Chama Cha Wauza Chips Tanzania.
Nimetoka tu kidogo kwenda kukojoa kurudi mezani namkuta muhudumu ameshikilia sahani ya chips mayai na mishikaki ya figirisi niliyoagiza imejazwa mazaga yote๐Yoda kwenye misosi umeshindikana.!
Wakati unajaziwa mazaga wewe unakua wapi?
Fanya uoe mtoto wa Kitanga au Zanzibar.
Nipo hapa.Humu hakuna wauza chips sasa