Wauza chakula wapunguze shobo kuwekea wateja vitu hawajawauliza au kutaka

Wauza chakula wapunguze shobo kuwekea wateja vitu hawajawauliza au kutaka

Mi mwenyewe huwa sielewi sometimes unamwambia usiweke chochote ila unashangaa kasha kujazia kabeji na kachumbari
Uswahilini bila mazagazaga chips kama ilivyo pilau inakuwa haijakamilika kwani ndio vitu wanapenda na ndivyo vinavyowa-motivate kununua chips.

So, by default wauzaji wana-assume kila mtu anapenda unless umemwambia mapema na reminder za mara kwa mara vinginevyo anajisahau tena.

Ni sawa na ukiagiza nyama au kuku choma, usipotahadharisha mapema, there is way ataacha kumwagilia chumvi ya kutosha kwa kuwa brains zao zilishakariri hivyo na mikono always inawashwa kumwaga chumvi!
 
Wakishua utawajua tu 😁
Mkuu uje nikutoe out ya uswahilini, utaenjoy
🏃
Me sio wa kishua, nakumbuka nipo mdogo nilikula viazi mom alipika,,nilitapikaa,,tokea hiyo siku nikaacha kula chipsi/viazi

Nikaanza kula ukubwani hivi,,mwezi uliopita siku Moja nilikula chipsi Milo yote mitatu,,na hizo kachumbari za bandani,nilipata shida ya tumbo nilizitapika zote🙌

Kwasasa kula tena hapana,nahisi kama Yale matapishi🙌

Sio chipsi tu.
 
Uandaaji huwa unakuwa wa kijinga sana, ila labda first born unakula kwa mgahawa au viyepe point vya mandhari mabaya.

Mimi huwa na jali sana usafi, wa waandaaji. Na ni kisha pazoea sehemu nakuwa naenda kila day
Kwasasa namkubali nichemshe chai,lakini sio kula vibandani,,

Nimepata shida ya tumbo sababu ni vyakula.
 
Me sio wa kishua, nakumbuka nipo mdogo nilikula viazi mom alipika,,nilitapikaa,,tokea hiyo siku nikaacha kula chipsi/viazi

Nikaanza kula ukubwani hivi,,mwezi uliopita siku Moja nilikula chipsi Milo yote mitatu,,na hizo kachumbari za bandani,nilipata shida ya tumbo nilizitapika zote🙌

Kwasasa kula tena hapana,nahisi kama Yale matapishi🙌

Sio chipsi tu.
Wewe wa kishua bwana usizuge hapa 😁
Ulikula viazi alipika "mom"
Ukubali tu wa kishua wewe, mboga 7 ya nane nyama 😁

Haya lini nikutoe out ya uswahilini ubadili mazingira utoke nje ya Geri Kali 😁
 
Wewe wa kishua bwana usizuge hapa 😁
Ulikula viazi alipika "mom"
Ukubali tu wa kishua wewe, mboga 7 ya nane nyama 😁

Haya lini nikutoe out ya uswahilini ubadili mazingira utoke nje ya Geri Kali 😁
Daah,wakishua😁

Mitaa yangu vingunguti Kwa perapera,buguruni Kwa mnyamani.,,ugali dagaa Michele plus kachumbari na ndimu.miguu ya kuku Kwa bonge.
 
Me sio wa kishua, nakumbuka nipo mdogo nilikula viazi mom alipika,,nilitapikaa,,tokea hiyo siku nikaacha kula chipsi/viazi

Nikaanza kula ukubwani hivi,,mwezi uliopita siku Moja nilikula chipsi Milo yote mitatu,,na hizo kachumbari za bandani,nilipata shida ya tumbo nilizitapika zote🙌

Kwasasa kula tena hapana,nahisi kama Yale matapishi🙌

Sio chipsi tu.
Acha kudeka first born... Unaniangusha bwana
 
Daah,wakishua😁

Mitaa yangu vingunguti Kwa perapera,buguruni Kwa mnyamani.,,ugali dagaa Michele plus kachumbari na ndimu.miguu ya kuku Kwa bonge.
Huwa unayaona yote hayo kwenye simu bila shaka.
Narudia Ofa ya mtoko Kwa mara ya mwisho 😁 weekend hii nikupeleke Tandale 😁
 
Kiumepesa Tuleni ugali Aisee, haya Mambo ya Mayonize na Tomato tuwaachie Walio kusudiwa..
 
Maeneo yangu hayo,labda unipeleke magufuli nikashangae mabasi yanayoingia na kutoka .
Sawa tutaenda pale kituo Cha biashara ubungo, nimeona ni kama China mnatembea juu ya kioo mnaangalia watu chini.
 
Back
Top Bottom