Wauza chakula wapunguze shobo kuwekea wateja vitu hawajawauliza au kutaka

Tupo Mkuu..

Kwa niaba ya wauza Chips wenzangu ningependa kuomba radhi Kwa Ndugu yetu pamoja na wengine wote tuliowakwaza, tunaahidi kujirekebisha kuanzia Leo.

Imetolewa na Idara ya Mawasiliano - Huduma Kwa Wateja.
Chama Cha Wauza Chips Tanzania.
CHAWACHITA
Chama Cha Wauza Chips Tanzania
 
Yoda kwenye misosi umeshindikana.!
Wakati unajaziwa mazaga wewe unakua wapi?
Fanya uoe mtoto wa Kitanga au Zanzibar.
Huyu mzee anaonekana anapitia tabu sana, mapenzi yamepita kushoto kwake.
 
Chips mayai sio chakula kwa hiyo lazima iambatane na wenzake.
 
Hiki ndicho kimenifanya nimechukia chipsi.aisee kitu nikila na nikakitapika,kukila tena hapana๐Ÿ™Œ
Uandaaji huwa unakuwa wa kijinga sana, ila labda first born unakula kwa mgahawa au viyepe point vya mandhari mabaya.

Mimi huwa na jali sana usafi, wa waandaaji. Na ni kisha pazoea sehemu nakuwa naenda kila day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ