Unaonaje ukafanya hiyo business au hutak hayo maokoto Kwa mwezi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ushawah kujiuliza kama wanapiga Hela sana kwann kila siku unawakuta na idadi ya mahindi inayocheza palepale kma Yapo 50 hutokuja kumkuta ana mahindi 250 Kwa siku
Waliosoma economics watakumbuka lile swali linalosema why small firm survive along side a large scale industry.
Ukienda kwenye viwanda vikubwa mfano dangote cement , au wazo hill utakuta mama ntilie wamejaa nje na wanauza Kila siku na Wana wateja wakutosha unaweza fikiri wanapiga Hela sana maana Kila siku wapo na kiwanda Kina wafanyakazi zaidi ya 1000
Mwisho
Kwenye Kila jambo lolote au story yoyote Kuna pande tatu zingatia sana hii hutokurupuka ukitaka kuruka.
1:wanavyosema
2:unavyosema
3: Ukweli halisi wa jambo
Don't believe everything you hear
There are always three side of a story
Theirs
Your's
The Truth