Wauza mahindi ya kuchoma wanapiga maokoto sana

kesho kutwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
1,722
Reaction score
1,965
Aisee hawa jamaa soko lao lipo juu sana. Sh. 500 hizi hizi kwa mwezi huyu jamaa sidhani kama anakamatika.

Nawaza vijiwe kama hivi unakua navyo kama 10 hivi. Sijui utakua wa level zipi hapa town.
 
Labda muhindi mmoja ananunua shilingi 300 shambani! Anakuja kuuza 500 toa gharama za mkaa, kijiwe au kama anawalipa vijana wanaotembeza kwenye magari !!🌧️
 
Aisee hawa jamaa soko Lao lipo juu sana. Sh. 500 hizi hizi kwa mwezi huyu jamaa sidhani kama anakamatika.

Nawaza vijiwe kama hivi unakua navyo kama 10 hivi. Sijui utakua wa level zipi hapa town.

Unaonaje ukafanya hiyo business au hutak hayo maokoto Kwa mwezi?[emoji23][emoji23][emoji23]

Ushawah kujiuliza kama wanapiga Hela sana kwann kila siku unawakuta na idadi ya mahindi inayocheza palepale kma Yapo 50 hutokuja kumkuta ana mahindi 250 Kwa siku

Waliosoma economics watakumbuka lile swali linalosema why small firm survive along side a large scale industry.

Ukienda kwenye viwanda vikubwa mfano dangote cement , au wazo hill utakuta mama ntilie wamejaa nje na wanauza Kila siku na Wana wateja wakutosha unaweza fikiri wanapiga Hela sana maana Kila siku wapo na kiwanda Kina wafanyakazi zaidi ya 1000

Mwisho

Kwenye Kila jambo lolote au story yoyote Kuna pande tatu zingatia sana hii hutokurupuka ukitaka kuruka.
1:wanavyosema
2:unavyosema
3: Ukweli halisi wa jambo

Don't believe everything you hear
There are always three side of a story

Theirs
Your's
The Truth
 
Fact
 
Hata sisi tuliwahi kufkir kama wewe [emoji23]

Baada tukagundua zilikua n emotions tu [emoji119]
 
Hesabu za kwenye karatasi kama kilimo cha whatsapp
Watu mbumbu kama ninyi hamkosekani.

Muhindi mmoja sokoni ni kati ya 300-450.

Unachomwa au kuchemshwa na kuuzwa Tshs 1000/=. Faida ni 500.

Wenye mtaji mkubwa huchukua kati ya mahindi 60-50.

Kwa hiyo faida ya 50x500= 25,000/=
 
Unaonaje ukafanya hiyo business au hutak hayo maokoto Kwa mwezi?[emoji23][emoji23][emoji23]

Ushawah kujiuliza kama wanapiga Hela sana kwann kila siku unawakuta na idadi ya mahindi inayocheza palepale kma Yapo 50 hutokuja kumkuta ana mahindi 250 Kwa siku

Waliosoma economics watakumbuka lile swali linalosema why small firm survive along side a large scale industry.

Ukienda kwenye viwanda vikubwa mfano dangote cement , au wazo hill utakuta mama ntilie wamejaa nje na wanauza Kila siku na Wana wateja wakutosha unaweza fikiri wanapiga Hela sana maana Kila siku wapo na kiwanda Kina wafanyakazi zaidi ya 1000

Mwisho

Kwenye Kila jambo lolote au story yoyote Kuna pande tatu zingatia sana hii hutokurupuka ukitaka kuruka.
1:wanavyosema
2:unavyosema
3: Ukweli halisi wa jambo

Don't believe everything you hear
There are always three side of a story

Theirs
Your's
The Truth
Umeandika maelezo mengi yasiyo akisi ukweli bali uoga
 
Labda muhindi mmoja ananunua shilingi 300 shambani! Anakuja kuuza 500 toa gharama za mkaa, kijiwe au kama anawalipa vijana wanaotembeza kwenye magari !!🌧️
Ona huyu.

Mahindi mengi 90% ya Dar yananunuliwa Soko la Simu 2000 (Mawasiliano).

Huletwa na magari kutoka Iringa, Mbeya, Kenya na Moshi.

Binafsi, hii ni moja ya kazi nitakayoifanya iwapo ya sasa itakoma.
 
Watu mbumbu kama ninyi hamkosekani.

Muhindi mmoja sokoni ni kati ya 300-450.

Unachomwa au kuchemshwa na kuuzwa Tshs 1000/=. Faida ni 500.

Wenye mtaji mkubwa huchukua kati ya mahindi 60-50.

Kwa hiyo faida ya 50x500= 25,000/=
Biashara tamu sana kwenye makaratasi utaona suoer profit sawa na kilimo. Ingia field sasa uone uhalisia.
 
Hapa wanaopiga hela sana ni wale wanaowauzia hao wanaokuja kuuza kwa kuchoma
Siyo kweli. Wale wanaowauzia wanapata kati ya 150 hadi 250 kwa muhindi mmoja, wakati wachomaji wanapata kati ya 400-500 kwa muhindi mmoja
 
Biashara tamu sana kwenye makaratasi utaona suoer profit sawa na kilimo. Ingia field sasa uone uhalisia.
Hii ni moja ya biashara ninayoijua kiundani. Na wenye biashara hii wana siri sana (wengi ni Waha). Chunguza utajua!

Wamenunua viwanja, wamejenga kwa biashara hii.

Nilidadisi mpaka nikajua.
 
Msimu wa mvua kama huu ndiyo wakati wa wauza mahindi kupata hela.

Wateja ni wengi sana kipindi cha mvua.
 
Back
Top Bottom