Wauza mboga mnaotembeza kwenye madishi mnasumbua kwa hodi alfajiri sana

Luna Dada alikuwa anauza taa za sola.
Nilimvutia ndani akatoa papuchi nikanunua taa moja.
Nikamrudishia taa take akaendelee kuouza kwa Mara ya pili.
Wamama was michicha siwezi kuwafanyia hivyo kwa sababu wengi wanawatoto wawili au familia kubwa
 
Punguza uvivu, mwanaume unalala mpka saa 12 asubuhi?
 
Hii ni wazi kuwa wewe ni mnunuzi wao maarufu, vinginevyo wala wasingepitia kwako.
 
Dah chief acha watu watafute riziki acha izo
 
Luna Dada alikuwa anauza taa za sola.
Nilimvutia ndani akatoa papuchi nikanunua taa moja.
Nikamrudishia taa take akaendelee kuouza kwa Mara ya pili.
Wamama was michicha siwezi kuwafanyia hivyo kwa sababu wengi wanawatoto wawili au familia kubwa
hahaha hiyo kibabe zaid
 
Unajua issue sio kutoka unakuta anarudia kama mara kumi hiv HODII HODIII akijua kama ww umelala kumbe unafanya yako yan kunapatikana kakero flan hiv
Mh! Hodi kama zile za wadada wahudumu wa gest!

Kosa ulipie chumba halafu ubaki ukidai chenji.

Wanatabia ya kuotea, wakihisi kuwa tayari upo 'usingizini' ndiyo hupiga hodi mlangoni kwa fujo kurejesha chenji wakiwa na ajenda nyingine ya kukuharibia mood, sijui huwaga ni wivu ama nini sijui dah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Luna Dada alikuwa anauza taa za sola.
Nilimvutia ndani akatoa papuchi nikanunua taa moja.
Nikamrudishia taa take akaendelee kuouza kwa Mara ya pili.
Wamama was michicha siwezi kuwafanyia hivyo kwa sababu wengi wanawatoto wawili au familia kubwa
Umenikumbusha kuna mzee m1 alikuwa na hiyo tabia kwa wamama wauza mboga.

Ilikuwa mwanamke akipita na dishi la mboga, mihogo, samaki ama chochote kwake akiuza, humuita ndani na kununua dishi zima kwa mkupuo kwa masharti kama yako hayo, ye'alikuwa ni single na hapiki hapo nyumbani!

Sasa uani pake palijaa bidhaa zilizo haribika bila kutumiwa, mihogo, michicha na kabiji zilizosinyaa nk nk, aliwanasa sana kwa udhaifu huo lakini hakufika mbali 'akaukwaa'.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku moja enzi naishi home,bi mkubwa yupo kwenye maombi yake ya asubuhi nasikia hodiiii,mtu anagonga geti Kama ugomvi,Mie kimya maana Jana yake nimechelewa kulala...bi mkubwa anafika getini anamkuta mama mboga daah alimmind Sana....ki ukweli wanasumbua japo wanasaidia
 
Ng'oa maua.. Lima tuta moja la mchicha na Spinach mbele ya nyumba yako.... Hutokaa uwasikie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…