Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

Dr leader

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
893
Reaction score
1,021
Habari wapambanaji na wote tuliokula kiapo cha kumtoa adui wetu nduli umasikini, Mimi ni mfanya biashara mdogo na mlanguzi wa mpunga na mchele hapa moshi.

Changamoto yangu kwa sasa ni mzigo nimekuwa na mzunguko mdogo kias kutokana na connection yangu si kubwa, natamani saana ningepata mtu wa kuniletea mzigo kwa bei rafiki tukafanya kazi itakuwa big deal kama yupo aliyetayari aje tuzungumze, hata ule wa nje fresh nauza pia.

Nakaribisha pia mtu tutakayefanya ushirika wa kibiashara milango iko wazi vijana tupambane

Kama nawe una changamoto yako weka hapa Tusaidiane hii keki ni kubwa sana hatuimalizi
 
Back
Top Bottom