Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

Nina mpunga gunia 80 wakuu zipo Sikonge Tabor, nataka kuziuza.
 
Mkuu ni pm mawasiliano yako tafadhali
Kama utakuja sasa hivi nitakupeleka mashineni ukakusanye kutoka Kwa wakulima wanao leta kukoboa ila kama utakuja mwezi wa tatu nitakuuzia mchele wangu mpya ambao hautopungua tani 5.
 
Back
Top Bottom