Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

Kuanzia week hii moshi tunaanza uvunaji wa mpunga tunategemea msimu ukichanganya huenda mchele ukashuka bei kwa sasa ni 2200 kwa 2300
Karibuni sana moshi kwa mahitaji ya mchele 0718569091
 
Kuanzia week hii moshi tunaanza uvunaji wa mpunga tunategemea msimu ukichanganya huenda mchele ukashuka bei kwa sasa ni 2200 kwa 2300
Karibuni sana moshi kwa mahitaji ya mchele 0718569091

Ni mashamba makubwa mkuu tusogeee tupe na location kamili
 
Karibuni bomang'ombe hai ,kilimanjaro. mchele kwa sasa 1900 mpka 2000 supa 2100 mpka 2200
 
Wakuu mwezi wa tatu Mwanza wilaya ya Sengerema naanza uvunaji wa mpunga hivo kama Kuna wadau wa biashara ya mchele karibuni Sana.
 
Mkuu nipe utaratibu nitie Timu
Kama utakuja sasa hivi nitakupeleka mashineni ukakusanye kutoka Kwa wakulima wanao leta kukoboa ila kama utakuja mwezi wa tatu nitakuuzia mchele wangu mpya ambao hautopungua tani 5.
 
Back
Top Bottom