Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbingu ipo wapi?Kama upo tayari njoo mbingu mchele ni chini sana super 1700,1800,1900
Kweli?Nenda Tabora mchele Bei rahisi kilo 900-1300
Eeh mkuuKweli?
Kwani sasa hivi una mzigo wa kiasi gani ?Tani kuanzia 5
Mtaji kukusanya mzigo wa maana angalao kiasi gani mkuuMtaji hautoshi kwenda kukusanya mzigo huko
Chief naona tulianza mazungumzo pm lakini hujajibu meseji zangu za mwishoMchele umekuwa adimu huku
Vip kutoka MbeyaTuna uhitaji mkubwa kwa sasa