Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo Moro sehemu ganiView attachment 2733799View attachment 2733800
Morogoro mbingu hiyo super yenyewe haina chenga,chuya,wala biriani kwa elfu 2000 tu bei ya shamba/ya mkulima ushuru kwa gunia ni 3000 ghalama ya usafiri 10k mpaka dar.
Upo Moro sehemu gani
Aisee, wanasema haswa tatizo nini mpaka kupanda kiasi hiko...?Kwa sasa kuna mgomo wa wanunuzi juu ya ushuru kuwa hii serikali sijui tunaelekea wapi kutoka kwenye 2000 kwa gunia mpaka 4500 inaelekea 5000 saivi
Ushuru wa gunia la mpunga au mchele?Kwa sasa kuna mgomo wa wanunuzi juu ya ushuru kuwa hii serikali sijui tunaelekea wapi kutoka kwenye 2000 kwa gunia mpaka 4500 inaelekea 5000 saivi
Kwa sasa kuna mgomo wa wanunuzi juu ya ushuru kuwa hii serikali sijui tunaelekea wapi kutoka kwenye 2000 kwa gunia mpaka 4500 inaelekea 5000 saivNdo maa
Ushuru wa gunia la mpunga au mchele?
Habari wakuu, nafikilia kuanzisha biashara ya kununua na kuuza nafaka.... Kama vile michere nk...
Muongozo plz kwa wazoefu wanipe zile taratibu za awali Bidhaa ipi naweza Anza nayo ambaya itanipush mtaji wangu especially kwa sisi tunaoanza from scratch...
Mtaji 2ML.
Maharage njoo rukwaMwenye info na mkoa uliotoa maharage kwa wingi aweke wakuuu mbeya saivi hamna kitu
Kiongozi umesema ushuru ni 2500 lakini pia kuna mdau hapo juu Itscharlie amesafirisha magunia kadhaa ya mchele na amesema wafanyabiashara wamelalamika kuwa ushuru umepanda mpaka 4500 yupi yuko sahihi kati yako na yeye kiongozi...?Wewe ni mwenyeji wa Ifakara au upo Dar?
Kwa mzigo huo gari uhakika. Gharama kwa gunia la kilo mia ni 12000.
Usafiri 9000
Ushuru 2500
Kupakia 500
Geti gani kalipia 4500. Maana ushuru inategemea na geti la halmashauri husika. Mimi nimeweka geti la halmashauri ya Ifakara mjiKiongozi umesema ushuru ni 2500 lakini pia kuna mdau hapo juu Itscharlie amesafirisha magunia kadhaa ya mchele na amesema wafanyabiashara wamelalamika kuwa ushuru umepanda mpaka 4500 yupi yuko sahihi kati yako na yeye kiongozi...?
Wakuu naomba kufahamu,
Gharama ya kusafirisha mchele kutoka Ifakara mjini hadi Dar kwa gunia la kilo 100 ni shilingi ngapi?
Na vipi upatikanaji wa usafiri ni rahisi au hadi connections na madalali?
Nina gunia 200 za mpunga nataka nizikoboe nije kuuzia Dar.
Maharage njoo rukwa
Kiongozi umesema ushuru ni 2500 lakini pia kuna mdau hapo juu Itscharlie amesafirisha magunia kadhaa ya mchele na amesema wafanyabiashara wamelalamika kuwa ushuru umepanda mpaka 4500 yupi yuko sahihi kati yako na yeye kiongozi...?
Geti gani kalipia 4500. Maana ushuru inategemea na geti la halmashauri husika. Mimi nimeweka geti la halmashauri ya Ifakara mji
Huyo yupo Mbingu, ni halmashauri ya wilaya ya Mlimba. Ushuru ni mapato ya ndani ya halmashauri hivyo kiwango kinaamuliwa na halmashauri husika