Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
Naomba uzoefu je mtaji kwa anae anza awe na mtaji kiasi gani labda kwa uzoefu walo
Inategemea mkuu kama ndo biashara unayo anzia inahitaji hela ndefu atleast uwe na hela hata ya tani 1 hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba uzoefu je mtaji kwa anae anza awe na mtaji kiasi gani labda kwa uzoefu walo
Tani moja ndo inahitaji shingapiInategemea mkuu kama ndo biashara unayo anzia inahitaji hela ndefu atleast uwe na hela hata ya tani 1 hivi
Ooooh okay sawa kwa nini isiwe flat rate kwa bidhaa Moja kwa kila sehemu...?Bei ya ifakara na huku mbingu mkuu ni tofauti huku wanatuonea tu ifakara ushuru na nauli ya mzigo vipo chini
Kama ni hivyo sawa.Geti gani kalipia 4500. Maana ushuru inategemea na geti la halmashauri husika. Mimi nimeweka geti la halmashauri ya Ifakara mji
Huyo yupo Mbingu, ni halmashauri ya wilaya ya Mlimba. Ushuru ni mapato ya ndani ya halmashauri hivyo kiwango kinaamuliwa na halmashauri husika
Koboa zilete moshi kaka soko uhakikaWakuu naomba kufahamu,
Gharama ya kusafirisha mchele kutoka Ifakara mjini hadi Dar kwa gunia la kilo 100 ni shilingi ngapi?
Na vipi upatikanaji wa usafiri ni rahisi au hadi connections na madalali?
Nina gunia 200 za mpunga nataka nizikoboe nije kuuzia Dar.
Gunia la mpunga 100kg ni bei gani kiongozi na ukikoboa zinabaki kilo ngapi za mchele...?Wakuu naomba kufahamu,
Gharama ya kusafirisha mchele kutoka Ifakara mjini hadi Dar kwa gunia la kilo 100 ni shilingi ngapi?
Na vipi upatikanaji wa usafiri ni rahisi au hadi connections na madalali?
Nina gunia 200 za mpunga nataka nizikoboe nije kuuzia Dar.
Kwani ile njia kama unaenda Kahe si wanalima mpunga kiongozi...?Kwa ambaye ana mzigo huku hatuchukui grade one tunakula sana hii ya kawaida. Ukileta mzigo unapiga hela ndefu
Mchele wa 2100
Gunia la mpunga 100kg ni bei gani kiongozi na ukikoboa zinabaki kilo ngapi za mchele...?
Kama utahitaji kwenda kukobolea Dar niambie, tuna mashine nzuri ya kisasa (Latest) ipo pale Kigamboni inatoa mchele umenyooka sana.Wakuu naomba kufahamu,
Gharama ya kusafirisha mchele kutoka Ifakara mjini hadi Dar kwa gunia la kilo 100 ni shilingi ngapi?
Na vipi upatikanaji wa usafiri ni rahisi au hadi connections na madalali?
Nina gunia 200 za mpunga nataka nizikoboe nije kuuzia Dar.
Connection za kupata mpunga huko Ifakara zipoje?Ukiambiwa gunia la kg 100 maana yake hilo ni gunia la mchele na sio mpunga. Na bei hiyo inayosemwa kuhusu hilo gunia la kg 100 ni ya mchele na sio mpunga.
Magunia ya mpunga tunayonunua kwa wakulima au tunayopima wakati wa kuvuna huwa mara nyingi tunapima kwa ujazo sio kwa kilo.
Gunia la mpunga kilo zake huwa ni zaidi ya 100 inategemea na ulivyolijaza. Kuna magunia ya debe 6, 7 na 10. Kujua ujazo halisi wa gunia inategemeana uko wapi. Kwa kanda ya ziwa wapo wanaopima gunia kwa ujazo wa debe 6 au 7, kwa ukanda wa morogoro mara nyingi wanapima gunia kwa ujazo wa debe 10.
Hivyo mtu aliyepo Kahama akikwambia ana gunia 50 maana yake ana debe 300 maana huko gunia lao ni la ujazo wa debe 6 na aliyeko Ifakara akikwambia ana gunia 50 maana yake ana debe 500 maana wao magunia yao wanapima ujazo wa debe 10, hao wawili (Kahama na Ifakara) wote watakwambia wana gunia 50, ni juu yako kufahamu eneo unaloulizia wanapima hayo magunia kwa ujazo wa debe ngapi.
Jibu la swali lako.
Bei ya gunia la mpunga kwa sasa ni Tsh 145000-155000 na hapa sio kwamba ni gunia la kg 100, ninamaanisha gunia la ujazo wa debe 10 na sio uzito wa kilo 100 maana gunia hili lina zaidi ya kg 100.
Hilo gunia la mpunga kama limejaa vizuri ukikoboa unaweza kupata kilo 90-96 za mchele
Hapana mkuu kukobolea Dar haitawezekana.Kama utahitaji kwenda kukobolea Dar niambie, tuna mashine nzuri ya kisasa (Latest) ipo pale Kigamboni inatoa mchele umenyooka sana.
Ni kwenda tu shambani unanunua kwa wakulima ila ni bora ukiwa na mwenyeji wa maeneo utakayofikia na pia watu wa kukupa muongozo, maana hata ununuaji wa mpunga unahitaji experience kidogo ili usije ukanunua mpunga ambao utavunjika vunjika wakati wa kukoboa.Connection za kupata mpunga huko Ifakara zipoje?
Umedadavua vizuri sana mkuu. Upo Ifakara au...?Ukiambiwa gunia la kg 100 maana yake hilo ni gunia la mchele na sio mpunga. Na bei hiyo inayosemwa kuhusu hilo gunia la kg 100 ni ya mchele na sio mpunga.
Magunia ya mpunga tunayonunua kwa wakulima au tunayopima wakati wa kuvuna huwa mara nyingi tunapima kwa ujazo sio kwa kilo.
Gunia la mpunga kilo zake huwa ni zaidi ya 100 inategemea na ulivyolijaza. Kuna magunia ya debe 6, 7 na 10. Kujua ujazo halisi wa gunia inategemeana uko wapi. Kwa kanda ya ziwa wapo wanaopima gunia kwa ujazo wa debe 6 au 7, kwa ukanda wa morogoro mara nyingi wanapima gunia kwa ujazo wa debe 10.
Hivyo mtu aliyepo Kahama akikwambia ana gunia 50 maana yake ana debe 300 maana huko gunia lao ni la ujazo wa debe 6 na aliyeko Ifakara akikwambia ana gunia 50 maana yake ana debe 500 maana wao magunia yao wanapima ujazo wa debe 10, hao wawili (Kahama na Ifakara) wote watakwambia wana gunia 50, ni juu yako kufahamu eneo unaloulizia wanapima hayo magunia kwa ujazo wa debe ngapi.
Jibu la swali lako.
Bei ya gunia la mpunga kwa sasa ni Tsh 145000-155000 na hapa sio kwamba ni gunia la kg 100, ninamaanisha gunia la ujazo wa debe 10 na sio uzito wa kilo 100 maana gunia hili lina zaidi ya kg 100.
Hilo gunia la mpunga kama limejaa vizuri ukikoboa unaweza kupata kilo 90-96 za mchele
Kwahiyo huko uliko mpunga unapatikana kwa wingi kwasasahivi?Ni kwenda tu shambani unanunua kwa wakulima ila ni bora ukiwa na mwenyeji wa maeneo utakayofikia na pia watu wa kukupa muongozo, maana hata ununuaji wa mpunga unahitaji experience kidogo ili usije ukanunua mpunga ambao utavunjika vunjika wakati wa kukoboa.
Usipokuwa makini kwenye kununua unaweza usione faida ya mpunga.
Kwa sasa sipo Ifakara ila nilikuwepo kipindi cha nyuma kidogoUmedadavua vizuri sana mkuu. Upo Ifakara au...?