ualimu wito
Member
- Nov 11, 2013
- 20
- 45
Wingi wa Mpunga ni hela yako tu ila kipindi kizuri ni pale wakulima wakiwa wanavuna. Kwa sasa kipindi cha mavuno kwa Ifakara kimeelekea mwishoni maana wakulima wengi walishapiga mpunga upo ndani, hivyo upatikanaji wake si kwa wingi sana kama ilivyokuwa kuanzia June-August.Kwahiyo huko uliko mpunga unapatikana kwa wingi kwasasahivi?