Wauza mitumba vijijini, acheni tamaa ya pesa, muwe wakweli, hizi si Travolta

Mbona katokelezea vizuri tu.
 
Na huyo mwenye nyeupe ni me au ke? Ngumu kumwelewa kwa hizo bi concave hips.
 
Hapo ni Kenya nilienda kisumu aisee watu washamba sijawahi ona
 
sawa sisi hatujui kuvaa
hatuendani na fashion
una magari mapesa mengi
lakini sisi ni wasukuma
uwiiii
sisi ni wasukuma
pleaseee sky tuachenii tupume ase hii ndo mitoko yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…