Wauza mitumba vijijini, acheni tamaa ya pesa, muwe wakweli, hizi si Travolta

Wauza mitumba vijijini, acheni tamaa ya pesa, muwe wakweli, hizi si Travolta

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1574574599623.jpeg


Mnawauzia vijana winter boots za kike mkiwadanganya kuwa ni Travolta.

1574574818299.jpeg
 
Na huyo mwenye nyeupe ni me au ke? Ngumu kumwelewa kwa hizo bi concave hips.
 
Hapo ni Kenya nilienda kisumu aisee watu washamba sijawahi ona
 
sawa sisi hatujui kuvaa
hatuendani na fashion
una magari mapesa mengi
lakini sisi ni wasukuma
uwiiii
sisi ni wasukuma
pleaseee sky tuachenii tupume ase hii ndo mitoko yetu
 
Back
Top Bottom