Wauza nazi wagomea kuwauzia mashabiki wa Simba

mdudu

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
7,013
Reaction score
10,000
Wakuu,

Kunataaliga zilizosamba toka jana na leo kuwa,wauza Nazi masoko yote ya Dar walikataza kuwauzia Nazi wapenzi na maahabiki wa timu ya simba, ndiyo sababu ya kupoteza mchezo kwa watani wao wa jadi Yanga
 
Kwa hyo yanga mnafurahia ule ushindi wa kupoteza muda na kupack bus ngojeji kwenye CAF champion's league muumbuke
 
game plan hubadirika,Simba muwe mnajiongeza,huwezi kila siku cheza ivyo ivyo tuuu,watu wamesha washtukia,
Ila yanga mnafurahisha kweli game plan ya kupoteza mda kama mnacheza final ya mapinduzi kumbe league kiufupi yanga ni mbovu mngekuwa na team nzuri ilikuwa mnashinda hata 4 leo ila mmebahatisha moja la deflection mkapaki bus halafu mnaita game plan hongereni ila tengezeni team msije mkaanza kuilaumu TFF kwenye CAF champion's league
 
Wewe mwenye timu nzuri umeshindwa nini kupata hata sare tu kwa timu mbovu?
 
Ila yanga mnafurahisha kweli game plan ya kupoteza mda kama mnacheza final ya mapinduzi kumbe league kiufupi yanga ni mbovu mngekuwa na team nzuri ilikuwa mnashinda hata 4 leo ila mmebahatisha moja la deflection mkapaki bus halafu mnaita game plan hongereni ila tengezeni team msije mkaanza kuilaumu TFF kwenye CAF champion's league
Tumebahatisha kipindi cha kwanza mlipata kona ngapi?,Umiliki wa mpira mlikuwa ngapi?Shot on & off Target zilikuwa ngapi ?Yanga alikuwa anaimaliza mechi first mapema kabisa kipindi cha kwanza chote mlipoteana.

Mnalamika wakati Bocco nae alikuwa anakula Nyekundu kwa kumkita Mukoko, tatizo nyinyi mmejaza maneno ya Manara kichwani na mnaenda uwanjani na matokeo yenu.

Hebu jifunzeni kwa Chelsea na Man City mpira mbinu, pamoja na City kuwa na watu na kucheza mpira mzuri ila kagongwa mara tatu mfululizo ndani ya miezi miwili na Chelsea.

Siku hizi watu wanakuachia umiliki, ile wakipata chansi wanamaliza mchezo ndicho alichofanya Yanga na walichofanya Chelsea kwa City mara tatu mfululizo.
 
Jamaa ana akili ndogo sana ya kufikiria ama pengine kipigo cha Simba kimemfanya awe chizi. Yaani anaongea utafikiri washambuliaje wake walipata hata kagoli cha offside vile.
Jipeni moyo tunawasubiria kimataifa msisajili mpo vizuri halafu mje kulaumu TFF ya karia inawaonea
 
Sawa Yanga butu, vipi nyie wenye washambuliaji wakali mlifunga ngapi Jana..??
Team ina pack bus huo mpira utachezwaje shikalo akidaka analala au anajifanya kaumia
 
Kupack bus ni mbinu ya mpira. Kama hamna uwezo wa kuifunga timu inayocheza mpira wa kujilinda basi hamjakamilika bado kimbinu. Hata Mourinho alikuwa na mpira wa kupaki bus lakini timu zinakuja na mbinu za kuvunja ngome ili kuifunga.
 
Jipeni moyo tunawasubiria kimataifa msisajili mpo vizuri halafu mje kulaumu TFF ya karia inawaonea
Haya maneno mlisemaga hivyo hivyo msimu wa 2019/2020 baada ya kupatikana nafasi ya timu nne. Lakini cha ajabu ikatolewa Simba raundi ya awali tu huku Yanga wakiendelea mbele. Mjifunze kutokuwa na dharau na kujiamini mpira hauchezwi mdomoni
 
Jamaa ana akili ndogo sana ya kufikiria ama pengine kipigo cha Simba kimemfanya awe chizi. Yaani anaongea utafikiri washambuliaje wake walipata hata kagoli cha offside vile.
Mashabiki wengi wa Utelembwe wana udumavu wa ubongo
 
Tumebahatisha kipindi cha kwanza mlipata kona ngapi?,Umiliki wa mpira mlikuwa ngapi?Shot on & off Target zilikuwa ngapi ?Yanga alikuwa anaimaliza mechi first mapema kabisa kipindi cha kwanza chote mlipoteana.

Mnalamika wakati Bocco nae alikuwa anakula Nyekundu kwa kumkita Mukoko, tatizo nyinyi mmejaza maneno ya Manara kichwani na mnaenda uwanjani na matokeo yenu.

Hebu jifunzeni kwa Chelsea na Man City mpira mbinu, pamoja na City kuwa na watu na kucheza mpira mzuri ila kagongwa mara tatu mfululizo ndani ya miezi miwili na Chelsea.

Siku hizi watu wanakuachia umiliki, ile wakipata chansi wanamaliza mchezo ndicho alichofanya Yanga na walichofanya Chelsea kwa City mara tatu mfululizo.
Chelsea kapata kombe,"uto" hata cha kunywea mbege hampati ng'ooo!
 
Kwani la mapinduzi nilichukua kwa nani?Nimecheza na ww mara tatu msimu huu, nimekugonga mara 2 na moja umepata droo tena umechomoa usiku na Kigoma na KUGONGA tena
Hilo unakwenda kushiriki "ligi" ipi? Malengo sifuri!
 
Back
Top Bottom