Wauza nazi wagomea kuwauzia mashabiki wa Simba

Wewe malengo yako kuchukua treble, mpaka sasa umechukua mangapi?Au Mapinduzi ulienda kushiriki na ww au ndio sizitaki mbichi hizi.
Vipaumbele:
1.Ubingwa-kushiriki ligi ya mabingwa Afrika.
2.ASFC-Kuwakilisha nchi kimataifa;
Haya niambie "mapinduzi" utashiriki nini?
 
Wakati msimu unaanza press conference ya kwanza ya Simba msimuu huu aliyoifanya Manara (Mkijiandaa na Simba day) mlikuwa na malengo Mawili.
Lengo la kwanza kufika nusu fainali CAF,la pili Kuchukua TREBLE (Ligi, Mapinduzi na Azam Confederation).

Sasa kwa nini mlilipigia mahesabu wakati mlijua halina msaada wowote?au ndio sizitaki mbichi hizi.
 
Wakati msimu unaanza press conference ya kwanza ya Simba msimuu huu (Mkijiandaa na Simba day) mlikuwa na malengo Mawili.
Lengo la kwanza kufika nusu fainali CAF,la pili Kuchukua TREBLE (Ligi, Mapinduzi na Azam Confederation).

Sasa kwa nini mlilipigia mahesabu wakati mlijua halina msaada wowote?au ndio sizitaki mbichi hizi.
Malengo yenu yapi?
Tumeshindwa kufikia yote lakini juhudi zimeonekana kwa asilimia 50+
 
Malengo yangu ilikuwa ni ligi,ila sio mbaya tuna mapinduzi na juhudi zimeonekana kwa 70% bado hilo la Azam Kigoma.
 
Bado una ndoto za ubingwa wa "ligi?" La ASFC sahau!
Kwani Mapinduzi nilichukua mbele ya nani?

Naona unajitoa ufahamu na kujisahaulisha,mimi wewe sikuogopi na ndio maana msimu nimekutana na ww mara tatu na nime KUGONGA mara mbili na hiyo sare uliipata kwa kuchomoa usiku.

Nasubiria Azam niku GONGE tena yaani ni mwendo wa KUGONGWA tu msimu huu.
 
Kwani Mapinduzi nilichukua mbele ya nani?Naona unajitoa ufahamu na kujisahaulisha,mimi wewe sikuogopi na ndio maana msimu nimekutana na ww mara tatu na nime KUGONGA mara mbili na hiyo sare uliipata kwa kuchomoa usiku.
Kwa mbio na rafu hujambo. Sijui mlisajili kina Bolt! Ila taji sahau. Kama lengo ni kuifunga Simba umefanikiwa. Matokeo ya juhudi hizo ni sifa au "vikombe????"
 
Sisi tumesajili akina Bolt na ndio maana mpaka sasa nina mapinduzi.

Sasa kama rafu Jana Bocco kamkita Mukoko Straight red kadi na kacheza rafu nne mfululizo na hajapewa kadi, bado hapo Nyoni nae kacheza rafu nyingi.Halafu kipindi cha kwanza mlipotea kabisa dimba likiwa letu, Possession ilikuwa yetu,kona za kutosha shot on and off zilikuwa za kutosha na ndio maana mlicheza sana rafu.

Matokeo ya juhudi zangu za KUKUGONGA ww mbona yameonekana ndio maana nikachukua kombe la mapinduzi.
 
Subiri ubingwa wa VPL na ASFC! Mengine kelele tu!
 
Nayepiga kelele wewe au mimi, wewe unapigia mahesabu makombe ambayo hayapo mikononi mwako.

Mimi nina Kombe la mapinduzi ambalo Simba kupitia msemaji wenu alilipigia mahesabu kwenye TREBLE .
 
Hilo unakwenda kushiriki "ligi" ipi? Malengo sifuri!
Malengo sifuri kivipi? Hivi unajua jana Yanga ingepoteza ile mechi angekuwa ameachana na Azam point tatu tu? Hivyo angekuwa na wakati mgumu kupambania nafasi ya pili kwasababu itamlazimu Yanga ashinde mechi zake zote au kuiombea Azam apoteze mechi moja wapo. Mwisho wa siku mechi ya Simba vs Azam, Simba wangekuwa wapo tayari kuuachia Azam ipate point tatu ilimradi tu Yanga isishike nafasi ya pili.

Lakini ushindi wa Jana umeifanya Yanga kuiacha Azam point sita. Kushika nafasi ya pili ni bora zaidi kuliko hata kuchukua kombe la Azam. Kwasababu ukichukua kombe la Azam halafu umeshindwa kushika nafasi ya pili maanake hautacheza klabu bingwa bali utacheza kombe la shirikisho CAF.
 
Kwa hyo yanga mnafurahia ule ushindi wa kupoteza muda na kupack bus ngojeji kwenye CAF champion's league muumbuke
Hapa umeandika nn.Siyo lazma kucoment kila sehem ili kulinda UTU WAKO
 
Malengo sifuri kivipi? Hivi unajua jana Yanga ingepoteza ile mechi angekuwa ameachana na Azam point tatu tu? Hivyo angekuwa na wakati mgumu kupambania nafasi ya pili kwasababu itamlazimu Yanga ashinde mechi zake zote au kuiombea Azam apoteze mechi moja wapo. Mwisho wa siku mechi ya Simba vs Azam, Simba wangekuwa wapo tayari kuuachia Azam ipate point tatu ilimradi tu Yanga isishike nafasi ya pili.

Lakini ushindi wa Jana umeifanya Yanga kuiacha Azam point sita. Kushika nafasi ya pili ni bora zaidi kuliko hata kuchukua kombe la Azam. Kwasababu ukichukua kombe la Azam halafu umeshindwa kushika nafasi ya pili maanake hautacheza klabu bingwa bali utacheza kombe la shirikisho CAF.
Kipi kilikuwa lengo:kupambania ubingwa au nafasi ya pili? HUELEWEKI!
 
Sieleweki au wewe ndio kichwa kigumu hauelewi unasoma huku unawaza kufungwa?
Nazungumzia Makombe mawili tofauti ndio maana nimeandika kombe la Azam. Kushika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu ni bora kuliko hata kubeba kombe la shirikisho la Azam. Na ndipo umuhimu wa mechi ya jana kwa Yanga ilipokuja ili kumwacha mbali Azam ambaye ndiye anayegombea nae nafasi ya pili.

Labda upo mbali na ulimwengu wa soka. Ni hivi watakaocheza michuano ya klabu bingwa ni kinara wa msimamo wa ligi kuu na anayeshika nafasi ya pili tu. Na anayechukua kombe la Azam ndiye anayeshiriki michuano ya Shirikisho CAF. Hivyo Kama watakaochukua kombe la Azam ni miongoni mwa wanaoshika nafasi ya kwanza na ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu, Basi nafasi ya tatu na nne kwenye msimamo ndio wanaoenda kucheza kombe la shirikisho CAF.

Hivyo kwavile Yanga lengo lao ni kucheza klabu bingwa, ndio maana jana kamtandika Simba ili kuongeza gepu ya point baina yake na Azam ili wajihahakishie nafasi ya pili kwenye ligi kuu. Kwasababu endapo wangepoteza jana wangekuwa wameachana point 3 tu na Azam jambo ambalo lingewapa presha kubwa kwenye mechi zilizobakia ili ku maintain nafasi yao ya pil maana ukishika nafasi ya tatu hata akishinda kigoma hakuwezi kumfanya aende klabu bingwa bali ataenda shirikisho.

Usipoelewa tena hapo basi shuleni mwalimu wako alikuwa na kazi kubwa sana
 
YAMEKUWA HAYO TENA?????!!!!!! Unapoteza muda kujenga hoja kutetea kushika nafasi ya 2 badala ya ubingwa? Bingwa asemeje sasa! " Uto" kazi kweli kweli. Na hiyo nafasi unayogombea ushiriki ligi ya mabingwa unaipata kwa mbeleko ipi?
 
Hilo unakwenda kushiriki "ligi" ipi? Malengo sifuri!
YAMEKUWA HAYO TENA?????!!!!!! Unapoteza muda kujenga hoja kutetea kushika nafasi ya 2 badala ya ubingwa? Bingwa asemeje sasa! " Uto" kazi kweli kweli. Na hiyo nafasi unayogombea ushiriki ligi ya mabingwa unaipata kwa mbeleko ipi?
Unaonesha ulivyokuwa msahaulifu wa hoja. Wewe ulikuwa unabeza matokeo ya Yanga kwasababu hayamfanyi kwenda kushiriki ligi yoyote. Hivyo mimi nilichokifanya ni kukupa jawabu kuwa kwa ushindi ule wa Yanga ni miongoni mwa malengo. Ili kucheza klabu bingwa lazima wapate point tatu kwa Simba na ni jambo ambalo limefanikiwa kwao. Kombe la Azam litabaki kwaajili ya kutafutiana heshima tu lakini tayari kwa upande wa klabu bingwa wameshajihakikishia kwa kupata point tatu kwa Simba hivyo Azam kaachwa point sita
 
Back
Top Bottom