Kama nafasi ya pili sio kitu kwanini asiende biashara klabu bingwa? Halafu muwe na uelewa wa mpira na taratibu zake. Simba kapambania mafanikio ya klabu yao ambayo imeiongezea taifa point za kupanda nafasi za juu. Hivyo iliyopata mafanikio ni Simba pamoja na shirikisho mwanachama wa CAF (TFF) hata kwenye champions league ipo hiyo kuna inchi zinaingiza timu mbili uefa zingine zinaingiza timu nne na zingine timu moja tu hiyo yote ni kutokana na matokeo ya klabu za inchi zao. ingekuwa ni swala la mbeleko angechukuliwa timu yoyote ile ikashiriki maana si unambeba tu?