Wauza ndizi wagomea soko la Ndugai

Wauza ndizi wagomea soko la Ndugai

Shetemba

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
923
Reaction score
933
Ni kwamba toka jumanne wiki hii hakuna kitu kinachoitwa ndizi Dodoma.

Wauza ndizi wamegoma kuhamia soko la Ndugai wanadai liko porini, waandishi wa habari kazi kwenu.
 
Ndugai mwenyewe anasemaje ?

tenor (9).gif
 
Ndio kukua kwa mji uko wanadodoma acheni ushamba
Mnataka kila kitu kiishie apo apo katikati?
 
Kwanza hilo soko lifutwe hilo jina mara moja, litwe hata soko la uhuru, kwa mahovyo aliyofanya ndugai
Hayo majina ya hovyo yako seem nyingi wasiyafute acha yabaki kuwa alama ya utawala wa nebukdinezar yule
 
Back
Top Bottom