Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji134]ni kwamba toka jumanne wiki hii hakuna kitu kinachoitwa NDIZI Dodoma,WAUZA ndizi wamegoma kuamia soko la Ndugai wanadai liko porini,,,waandishi wa habari kazi kwenu.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
🏃🏃🏃🏃🏃.
Shambani si unazo za kutosha, au tuhamie kwenye Ile ya mabibo kwani Mzee baba amejikita kuhudumia mikorosho hivi Sasa🤔.Sasa mbege tutapata wapi?
Isije kuwa wanatishwa na historia na jina lenyewe tu.Soko liko mbali hivyo gharama zimeongezeka za kufuata bidhaa katika hilo soko.
Mfano Kama una genge Mipango kufuata mkungu mmoja wa NDIZI Ndugai ni Bora uagizie Rombo.Soko liko mbali hivyo gharama zimeongezeka za kufuata bidhaa katika hilo soko.
Liko mbali sana na mji labda kwa baadae makazi yakiongezeka around hilo sokoMfano Kama una genge Mipango kufuata mkungu mmoja wa NDIZI Ndugai ni Bora uagizie Rombo.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Unajua NDIZI ni Mali. KuozaNdio kukua kwa mji uko wanadodoma acheni ushamba
Mnataka kila kitu kiishie apo apo katikati?
Hayo majina ya hovyo yako seem nyingi wasiyafute acha yabaki kuwa alama ya utawala wa nebukdinezar yuleKwanza hilo soko lifutwe hilo jina mara moja, litwe hata soko la uhuru, kwa mahovyo aliyofanya ndugai