Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Msalimie Nigga. Kuna muhuni mmoja hapo utakutana nae mwite nigga ni kopi ya Travis ScottShukran Mjomba. Mungu akubariki Sana, naelekea kwa Shangazi.
Sina hiyana kaka, tugawqne umaskini tu. Wanaonufaika wanikumbuke mzee tujitahidi kusimuliwq kwq mazurikama kawaida yako mzee wa codes
Unajua zinakaa pcs ngapiPochi hizi dazeni ni 120k nenda mchikichi na sikukuu, wewe utauza kias gani?View attachment 3142708
View attachment 3142706View attachment 3142707
View attachment 3142709
Muuzaji anauza dazeni yani pis 12 kwa 120 yani kila pis elf 10Unajua zinakaa pcs ngapi
Lili Tony hujambo? Mimea hapo sua haijambo? Wewe kanunue hizi uuze pochi flan hiv classic sanaAsante mkuu
Amina mtumishi, niombeeni mibarakaUbarikiwe Sana Mtumishi wa Bwana
Mkuu nashukur kwa appreciation. Nina plan ya kusambaza idea na kuwaweka watu karibu na fursa... biashara kama mbadala wa kuishi vijana waliokosa ajira. Yani hapo kaka washindwe wao tuHili li Kalaga Baho Nongwa aho Nongwa ni limtu na nusu lenyewe linawapeleka kwenye utajiri kazi kwenu kubaki magetoni mnasubili kupata mitaji kupitia betting .
Amka vijana kumekucha twende tuitafute dolari
Safi kabisa japo umeweka misamiati mingi ya kiinglishi nimepoteana kakaMkuu nashukur kwa appreciation. Nina plan ya kusambaza idea na kuwaweka watu karibu na fursa... biashara kama mbadala wa kuishi vijana waliokosa ajira. Yani hapo kaka washindwe wao tu
Dunia ya materialistic hii hata ukiwa na idea ya utajri ukishindwa kuifanya kuwa materials haina kazi. Vijana wengi wana maproject proposal na mandoto makubwa makubwa lakini muhimu sana kwenye maisha kuanza na kilichopo. Biashara za kimachinga kwa sasa ndio tangible
🔥🔥🔥Wazee wikend imepoa sana
Sijui shida nn ila nataka kuwapa kuwpa code, asee jf nikifa mtanikumbuka sana. Sitaki mia yako mzee, wewe nenda kwa mchina kafanye biashara watoto waende chooni. Dua tu zinanitosha kabisa
Kuna mtaa unaitwa swahili, sehemu iliyokutana na mtaa wa Mchikichi. Hapo kuna mchina maarufu anaitwa "Shangazi", nunua katoni lako kafanye biashara mikoani huko
Hili jina mtu yoyote ukimwambia namtaka Shangazi umefika
NongwaView attachment 3142483View attachment 3142482View attachment 3142483View attachment 3142484View attachment 3142485View attachment 3142486View attachment 3142487View attachment 3142488View attachment 3142489
Nitalipia English kozi kama una muda ukapige pale british Council, we ndugu yangu siwez kukubali udhalilikeSafi kabisa japo umeweka misamiati mingi ya kiinglishi nimepoteana kaka