Wauza pochi, nakupa chimbo hili ukajimalize mwenyewe

Kalaga Baho Nongwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
9,953
Reaction score
23,150
Wazee wikend imepoa sana
Sijui shida nn ila nataka kuwapa kuwpa code, asee jf nikifa mtanikumbuka sana. Sitaki mia yako mzee, wewe nenda kwa mchina kafanye biashara watoto waende chooni. Dua tu zinanitosha kabisa

Kuna mtaa unaitwa swahili, sehemu iliyokutana na mtaa wa Mchikichi. Hapo kuna mchina maarufu anaitwa "Shangazi", nunua katoni lako kafanye biashara mikoani huko

Hili jina mtu yoyote ukimwambia namtaka Shangazi umefika

Nongwa

IMG-20241030-WA0031.jpg
IMG-20241030-WA0039.jpg
IMG-20241030-WA0031.jpg
IMG-20241030-WA0032.jpg
IMG-20241030-WA0030.jpg
IMG-20241030-WA0026.jpg
IMG-20241030-WA0024.jpg
IMG-20241030-WA0036.jpg
IMG-20241030-WA0041.jpg
 
Hili li Kalaga Baho Nongwa aho Nongwa ni limtu na nusu lenyewe linawapeleka kwenye utajiri kazi kwenu kubaki magetoni mnasubili kupata mitaji kupitia betting .

Amka vijana kumekucha twende tuitafute dolari
Mkuu nashukur kwa appreciation. Nina plan ya kusambaza idea na kuwaweka watu karibu na fursa... biashara kama mbadala wa kuishi vijana waliokosa ajira. Yani hapo kaka washindwe wao tu

Dunia ya materialistic hii hata ukiwa na idea ya utajri ukishindwa kuifanya kuwa materials haina kazi. Vijana wengi wana maproject proposal na mandoto makubwa makubwa lakini muhimu sana kwenye maisha kuanza na kilichopo. Biashara za kimachinga kwa sasa ndio tangible
 
Safi kabisa japo umeweka misamiati mingi ya kiinglishi nimepoteana kaka
 
Wazee wikend imepoa sana
Sijui shida nn ila nataka kuwapa kuwpa code, asee jf nikifa mtanikumbuka sana. Sitaki mia yako mzee, wewe nenda kwa mchina kafanye biashara watoto waende chooni. Dua tu zinanitosha kabisa

Kuna mtaa unaitwa swahili, sehemu iliyokutana na mtaa wa Mchikichi. Hapo kuna mchina maarufu anaitwa "Shangazi", nunua katoni lako kafanye biashara mikoani huko

Hili jina mtu yoyote ukimwambia namtaka Shangazi umefika

NongwaView attachment 3142483View attachment 3142482View attachment 3142483View attachment 3142484View attachment 3142485View attachment 3142486View attachment 3142487View attachment 3142488View attachment 3142489
🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom