Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Kweli wewe ndio jinga..yani habari zimesambaa kila kona alafu unasema ukawashikishe..wewe ndio sio mjanja umeingia choo cha kike baki na vimeo vyako..Nna simu feki zitakazozimwa mwezi wa sita,nauza kwa promosheni ambapo unaweza peleka mikoani na kupata hela nzuri tu maana huko si wajanja kabisa,Huko Morogoro,Mbey,Tanga,Mwanza, kigoma ndo zoote unauZa
Nnayo lakini feki,Nipe nikupe,We sj u ataka wasap ya bureNahitaji Nokia ya touch yenye uwezo wa kuSupport whatsup insta badoo na iwe na auto selfie..20k
Sh ngap?!Nna simu feki zitakazozimwa mwezi wa sita,nauza kwa promosheni ambapo unaweza peleka mikoani na kupata hela nzuri tu maana huko si wajanja kabisa,Huko Morogoro,Mbey,Tanga,Mwanza, kigoma ndo zoote unauZa
Iphone 5s 3k,Galaxy Note 5k ,Lg Mxt 8 K,Sh ngap?!
Iphone 5s chukua 25000Iphone 5s 3k,Galaxy Note 5k ,Lg Mxt 8 K,
Huwezi pata iPhone 5s kwa bei hiyo au unataka cloneIphone 5s chukua 25000
Hujasoma post yake jamaaHuwezi pata iPhone 5s kwa bei hiyo au unataka clone
Chukua tecno y3 plus70000 sipati smartphone
Leta helaNiuzieni samsung galaxy s7,
Nina laki moja, iwe original tafadhali.