Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Nna simu feki zitakazozimwa mwezi wa sita,nauza kwa promosheni ambapo unaweza peleka mikoani na kupata hela nzuri tu maana huko si wajanja kabisa,Huko Morogoro,Mbey,Tanga,Mwanza, kigoma ndo zoote unauZa
 
Kweli wewe ndio jinga..yani habari zimesambaa kila kona alafu unasema ukawashikishe..wewe ndio sio mjanja umeingia choo cha kike baki na vimeo vyako..
Kwa ushauri nenda kaonge watoto wa shule
 
Nahitaji Nokia ya torch yenye uwezo wa kuSupport whatsup insta badoo na iwe na auto selfie..20k
 
Nahitaji display ya samsung galaxy s3. Au kama Kuna mtu anahitaji mashine ya samsung galaxy s3, tunaweza fanya biashara
 
Nna simu feki zitakazozimwa mwezi wa sita,nauza kwa promosheni ambapo unaweza peleka mikoani na kupata hela nzuri tu maana huko si wajanja kabisa,Huko Morogoro,Mbey,Tanga,Mwanza, kigoma ndo zoote unauZa
Sh ngap?!
 
Jamani nipeni ofa ya hii simu
1460577127332.jpg
1460577154899.jpg
1460577179000.jpg
1460577201307.jpg
1460577218232.jpg
 
Yeyote mwenye uwezo wa ku upgrade android version kwa kutumia pc. Tafadhari naomba tuwasiliane. Simu yangu ni samsung s5 sm-g900f. android version ni 4.4.2 kit kat
 
Back
Top Bottom