Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,962
- 1,618
Ni used?
Mda gani?
Condition yake ikoje??
Yes ni used, nilikua natumia mwenyewe..
Niliinunua February mwaka huu.
Ipo katika ubora wake..haina shida yoyote..honestly
Weka picha mkuu
Windows7Angalia post yangu ya nyuma au njoo whatsapp..namba ipo hapo juu kaka
Angalia post yangu ya nyuma au njoo whatsapp..namba ipo hapo juu kaka
Nina Huawei y530 inataka 150,000.na kama una matatizo na simu yako tuonane humu 0715378899
Nna blackbery Q10 nimeichoka tu ila ipo poa sana na unatumia vibandle vya kawaida hata vya chuo ni sh 380,000 maelewano yapo ni nyeupe ni pm