Wauza smartphone tukutane hapa

Kuna jamaa yangu kununua C8 laki 250,000/= mpya kabisa.... Wapi ninaweza pata?
 
Tecno c5 bado mpya mpya ..imetumika 2week ..tsh/=185000
Ninashida nicheki kwa 0765919620...mwanza nyamagana....maelewano yapo.

Utapewa chaja na boksi lake.
4G INAPIGA KAZI FRESH.


WAHI KABLA SIJA KOPA
 
Nauza ipad apple air six Ina miezi miwili toka itoke u.s.a bei milioni 1
 
Nahitji battery ya HTC One min 2 kwa mwenye nayo aje tubonge
 

Kwa anayehitaji simu Original za Samsung atuchek.

Tunazo J1, J2, J7, na S7 Edge..

Simu zote ni mpya na zina warranty ya mwaka mzima.

Karibuni Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…