Wauza smartphone tukutane hapa

nahitaji sony xperia v nipo dsm bei iwe nzuri
 
Ninayo cm ya laki,lakin touch imepasuka na inapiga mzigo km kawa,y 300 Huawei tuonane 0715378899
 

Swala chaji kwenye smartphone tecno wame advance
 
Habari wakuu!

Ninauza hiyo hapo sony experia tshs 120000/= iko katika hali nzuri.

Fanya hima mteja nina shida na hela now.
 
Inapatikana Mwanza ila naeza ituma via flight ulipo!? Kwani hupo mkoa gani mkuu!?

gharama hizo anawajibika nazo nani! maana kutoka huko to dar na huku mtu ajaishika mkononi na kujiridhisha kwa kuikaguan either akakubali or kughari kuichukua' ipoje hapo
 
gharama hizo anawajibika nazo nani! maana kutoka huko to dar na huku mtu ajaishika mkononi na kujiridhisha kwa kuikaguan either akakubali or kughari kuichukua' ipoje hapo

Anyways nlidhani una mtu hapa Mwanza mtaalamu wa kukagua simu aifanye hiyo kazi maana nahisi itakuwa process ndefu simu ije Dar ndo ikaguliwe!

Expenses za ndege ningecover maana nina brother angu hapa anapush Pipa la kuja Dar so ningempa akuletee.

Karibu!!
 
sio mbaya maadam umejieleza ulipo naamini waliopo mwanza watafanikisha! othertym unaeleza ulipo' unatoa contact' uzuri bei ulikua hujasahau kuweka! weka tangazo vzr kuepuka usumbufu wa kuchat sana
 
Just curios...hivi samsung wana version gani ambayo ni latest? Huwa zanimix sana mara galaxy, s6, edge aaaghhrr!! Hawako straught km iPhone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…