Wauza smartphone tukutane hapa

Samsung Galaxy A5 kwa 450k iko kwenye hali nzuri sana


Samsung Galaxy A8 kwa 850k iko kwenye hali nzuri imetumika mwezi mmoja tu.
Location:Mbeya
Contact;:0767242454
 

Attachments

  • 1474535056916.jpg
    50.3 KB · Views: 66
  • 1474535070559.jpg
    54.2 KB · Views: 73
  • 1474535093882.jpg
    34.1 KB · Views: 65
  • 1474535108051.jpg
    25.2 KB · Views: 69
Super ni ama S na Note hizo zingne ni vitoto vya sumsung
 
Smartphone accessories for sale, all 100% original. Memory card original 64gb, inauzwa 70k na usb flash duo ya 64gb inauzwa 65k. PM or whatsapp 0683952378
 
Natafuta kioo (display) cha sumsung s4 kwa gharama yoyote. Ni pm
 
nauza Nokia Lumia 900 locked at&t imetumika marekani. Kuna duka la wahindi wamesema wana unlock kwa shs 75,000 mimi utanipa shs 75,000... kwahiyo kama utamtumia huyo muhindi ku unlock jumla itakuwa shs 150,000 ila kama utaweza unlock kwa bei rahisi zaidi ni nafuu kwako mimi utanipa 75,000.
 
Huawei Ascend G6
Mpya kabisa haijatumika.
Ram 2 GB
Storage 4GB
4G
Mpya ktk boksi lake utapewa kila kitu
Bei 500,000
Au kama kuna mwenye smart phone iliyoko ktk hali nzuri tunaweza kubadilishana kwa 400,000.
Kwa mawasiliano zaidi nicheki PM
Picha

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…