Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Samsung Galaxy A5 kwa 450k iko kwenye hali nzuri sana


Samsung Galaxy A8 kwa 850k iko kwenye hali nzuri imetumika mwezi mmoja tu.
Location:Mbeya
Contact;:0767242454
 

Attachments

  • 1474535056916.jpg
    1474535056916.jpg
    50.3 KB · Views: 66
  • 1474535070559.jpg
    1474535070559.jpg
    54.2 KB · Views: 73
  • 1474535093882.jpg
    1474535093882.jpg
    34.1 KB · Views: 65
  • 1474535108051.jpg
    1474535108051.jpg
    25.2 KB · Views: 69
Wakuu hivi hizi series za samsung zimekaa vipi....

Ipi ni superior kati ya hizi....na utofauti ni nini,?

A -series....mfano A7
J-series......mfano J7
S-series....mfano S6
Note-series....mfano Note 3

Naombeni ufafanuzi....manake baadaye nataka niende mobile plaza nikavute samsung moja chap
Super ni ama S na Note hizo zingne ni vitoto vya sumsung
 
Smartphone accessories for sale, all 100% original. Memory card original 64gb, inauzwa 70k na usb flash duo ya 64gb inauzwa 65k. PM or whatsapp 0683952378
IMG-20160919-WA0252.jpg
IMG-20160919-WA0251.jpg
IMG-20160919-WA0252.jpg
IMG-20160919-WA0251.jpg
IMG-20160919-WA0252.jpg
 
nauza Nokia Lumia 900 locked at&t imetumika marekani. Kuna duka la wahindi wamesema wana unlock kwa shs 75,000 mimi utanipa shs 75,000... kwahiyo kama utamtumia huyo muhindi ku unlock jumla itakuwa shs 150,000 ila kama utaweza unlock kwa bei rahisi zaidi ni nafuu kwako mimi utanipa 75,000.
 
Huawei Ascend G6
Mpya kabisa haijatumika.
Ram 2 GB
Storage 4GB
4G
Mpya ktk boksi lake utapewa kila kitu
Bei 500,000
Au kama kuna mwenye smart phone iliyoko ktk hali nzuri tunaweza kubadilishana kwa 400,000.
Kwa mawasiliano zaidi nicheki PM
Picha

IMG_20160924_173456_1.jpg
IMG_20160924_173456.jpg
IMG_20160924_173446.jpg
IMG_20160924_173135.jpg
 
Back
Top Bottom