Wauza smartphone tukutane hapa

Tuelimishe mkuu hiyo icloud ndio kitu gani?
ICloud ni security ya simu kama unavyoweka password kwenye simu yako sema yenyewe inakuwa accessed na server za Apple(kampuni ya iphone), hivyo mteja anaejali ulinzi wa simu yake pindi anaponunua atajiregister na icloud account, pindi simu yake inapoibiwa anaingia website ya apple kisha anaenda find my phone na anaamua kuilock mazima hivyo mara nyingi simu zinazouzwa zikiwa na icloud lock waweza nunua kama toy la kuchezea watoto au unahitaji spear
 
Nauza iPhone 4S kwa Tshs
450,000/=. Au kwa mwenye iPhone 5 au 5S tubadilishane nimpe na cash juu. Anaehitaji anicheck 0767554234
 
Nauza iPhone 4S kwa Tshs
450,000/=. Au kwa mwenye iPhone 5 au 5S tubadilishane nimpe na cash juu. Anaehitaji anicheck 0767554234


Mkuu pungua kidogo uwafaidishe na wenzako! 450k kwa iphone 4 upo juu sana. Ntafute hiyo 450k mi nakupa iphone 5s safi kabisa!
 
natafuta simu budget yang n 200k nipo dar isiwe techno wala huawei
 
Mkuu vipi hapo tukifanya na hii iPhone 4S inakuwa part of the deal? Utafanya ngapi?

Si rahisi mkuu, hii ukiwa tayari sema nikuletee mzigo, hutajuta. 450k nakupa iphone 5s not iphone 5. Ndio maana nimekwambia punguza kidogo! Uza hiyo walau 250 then jichange 200k ntafute tufanye biashara nipo Dar.

Yoyote anayetaka iphones atapata kwa bei fair maana tukubaliane tu iphones bei zimechangamka.
 
Iphone 4s huwa nazipata kwa 250k hadi 300k honnestly na zinakuwa ktk hali nzuri.
 
Nauza iphone 5s full box imetumika miezi 2 tu na icloud ni ya kwangu bei 550,000/= anaehitaji aje PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…