Mkuu mm nahitajiSi rahisi mkuu, hii ukiwa tayari sema nikuletee mzigo, hutajuta. 450k nakupa iphone 5s not iphone 5. Ndio maana nimekwambia punguza kidogo! Uza hiyo walau 250 then jichange 200k ntafute tufanye biashara nipo Dar.
Yoyote anayetaka iphones atapata kwa bei fair maana tukubaliane tu iphones bei zimechangamka.
Mkuuu bado ipooView attachment 429632View attachment 429630View attachment 429631
Pentax Optio S12 MP12 digital camera with 3x optical zoom (Grey) inataka 200k tu na iko full na kila kitu chake (brand New)
Mi ninayo 450k fixed, sms 0714884422Nahitaji samsung A3 ya 2016
Ongeza 100 upewe mpyaaaNani ana J8 kwa 150k aniuzie? Niko mwanza.
Ongeza mia iwe 250 ukiwa tayari cheki hapa 0719041361Nani ana J8 kwa 150k aniuzie? Niko mwanza.
Msaada wakuu,
Nina iPad 2, ninashindwa kuingia appstore kwa kutumia "apple ID" yangu. Kila ninapotaka kuingia inanitaka ni-review kwa kuingiza taarifa zangu za kadi ya manunuzi, nikiinigiza taarifa hizo ninakwama kuweka "security code", nimejaribu kwenda benki ilinipatia hiyo card wameshauri nijaze nywila ninayoitumia, nimefanya hivyo lakini bado tatizo liko pale pale. Nifanyeje, maana nashindwa kupakua applications hata za bure!
Kaka ...
humu mnauza simu bei kuubwa hivi huwa zinauzika kweli?