Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Nauza Xperia z black 200k
7434fb6cd5e3cbd17c1051737f8cbe4c.jpg
e4b9f07010454c87378560e985d0cb72.jpg
2d5797ba0b05b33ed886504fe33109af.jpg
ukiitaka tuwasiliane 0625667727
 
Si rahisi mkuu, hii ukiwa tayari sema nikuletee mzigo, hutajuta. 450k nakupa iphone 5s not iphone 5. Ndio maana nimekwambia punguza kidogo! Uza hiyo walau 250 then jichange 200k ntafute tufanye biashara nipo Dar.

Yoyote anayetaka iphones atapata kwa bei fair maana tukubaliane tu iphones bei zimechangamka.
Mkuu mm nahitaji
 
Basi mkiweka matangazo mnaouza simu muweke na namba zenu za simu
Wengine mnaweka tangazo alafu mnapotea alafu kama mnavyojua huku hakuna inbox
Naomba muambatanishe matangazo na namba zenu tafadhali
 
nina tecno j5 2 nauza laki 20 kwa kila moja,hazina tatzo lolote lile kwa maelezo njoo Pm
 
Blackberry tab
1gb ram
64gb
Wifi
25ok price
Location dar
Contact 0719094595
be513556d4619fd9c37b6ba4f3404e46.jpg
9e27dc9156e630d4880e731f95860597.jpg
c2d5c327045ca26759492c856a377741.jpg
0dd5639e3bda79422543667318c90b81.jpg
 
Min Ipad air.
WiFi & 4G cellular network.
16GB storage.
comes with all accessories.
price: 450k
contact: 0654776976
1479370735517.jpg
1479370751223.jpg
1479370758843.jpg
1479370772094.jpg
1479370787603.jpg
1479370804709.jpg
 
Msaada wakuu,
Nina iPad 2, ninashindwa kuingia appstore kwa kutumia "apple ID" yangu. Kila ninapotaka kuingia inanitaka ni-review kwa kuingiza taarifa zangu za kadi ya manunuzi, nikiinigiza taarifa hizo ninakwama kuweka "security code", nimejaribu kwenda benki ilinipatia hiyo card wameshauri nijaze nywila ninayoitumia, nimefanya hivyo lakini bado tatizo liko pale pale. Nifanyeje, maana nashindwa kupakua applications hata za bure!

Kaka ...

Ingia App store tafuta app unayotaka kudownload itakuletea option ya kujisajili. Fata steps za kujisajili ikifika sehemu ya kudai kadi ya benki weka NON halafu malizia registration yako.
 
Lenovo vibe inauzwa 400,000/= kwa sasa nipo morotown.

Kama utakuwa unahitaji utaletewa popote ulipo ila tu kwa maeneo ya hapa mjini.
 
Back
Top Bottom