The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
Kwan wew unayetumia ni ya kutoka hukohuko china,sema kwa kuwa wewe bumbuazi+team mshenzi ndio hivyo#80%Africa hutumia simu kutoka china,mshamba wa kanda ya,,,,,za kichina hizo hapo hamna cm
natafuta smartphone kwa 90,000
Nahitaji kubadilisha kioo "touch screen" ya Samsung Galaxy Note II (haifanyi kabisa). Nimeenda maduka ya Samsung bei yao ni Tzs. 350,000/= Kariakoo Tzs. 200,000/=. Anayeweza kwa bei ya chini ya hapo na ana uhakika na afanyacho anijulishe hapa au inbox.
Natanguliza shukrani.
Kaka

Ongeza elfu 10 nikuachie nokia x
Mm nna hii HTC njoo na 290,000 tufanye biashara, sm ni used imetoka denmark
Niko dar, spec zake zijazicheki ila sm iko sawa.nmeku pm namba yanguhtc ya aina gani??? specs zake vipi??? upo wapi???
Lcd display/ vioo vya Iphone 5 (Black/Nyeusi) vinapatikana kwa bei rahisi ya Tsh 70,000 kwa kila kimoja,
pia Housing kwaajili ya Iphone 5 nyeusi inapatikana kwa bei ya Tsh 40,000
Napatikana Dar es salaam
Mawasiliano: whatsapp 0763 55 36 58.
Call, sms, text 0713 10 69 48
View attachment 264376View attachment 264377