Za biashara mkuuu,nipo kariakoo
Namba zangu hizo0715378899Wewe jamaa unasemaga tu upo Kariakoo, ila hutaki kueleza zaidi Kariakoo mtaa gani.
Sema mtaa uliopo mi nataka iPhone 4 au 4s iwe mpya au used, wengine mara kwa mara tunakuja jijini hivyo ukitoa ramani ya kueleweka tunaweza kufanya biashara.!
AggreyNamba zangu hizo0715378899
Una htc gani?Nina HTC bei tunaongea
Oya nahitaji note 3 ama I phone 5s gold my offer 450k
Note 3 Ninayo; ila nauza 550k; nimeitumia Mimi mwenyewe ...ina kila kitu chake
Umeitumia muda gani haina scratches huku pemben ???
Miezi 6; iko vizuri; kama uko Dar city centre naweza kukuonesha
Emb nipe bei ya mwisho mkuu alf nimekuuliza kama ina scratches ama
Scratches ni kidogo; waweza iona ukaamua ndugu; kwa sababu sikuweka flip cover; na hii sijanunua kwa mtu so ni halal ...
Emb nipe bei ya mwisho mkuu alf nimekuuliza kama ina scratches ama
Scratches ni kidogo; waweza iona ukaamua ndugu; kwa sababu sikuweka flip cover; na hii sijanunua kwa mtu so ni halal ...
Nakutumia no yang pm unitumie pics whatsapp mkuu