Wauza smartphone tukutane hapa

Boss hebu nijuze kuhusu hizi tecno sparks na bei zake kama unazo. Mie nataka nihamie tecno but sijawa na information za kunitosha
Sikushauri sana hiz spark,nikushauri ukitaka simu nzur ya tecno anzia W5 kavu,nzuri sana au L9+ japo siku hzi zineadimika lakin ni nzur sana au Common CX kavu sio CX Air utaenjoy,au J8 bado ipo vzr sana,spark nying ni 200-197 unapata nzur Ila naziona zile kama sio za kijanja sana...
 
Kwan cammon cx. Inauzwa bei gan
 

Ngapi mkuu wa hyo jamaa nahitaji betri boss
 
iphone 6 kamili g128 fingerprint inafanya kazi kama kawaida na kila kitu ipo poa inauzwa tsh laki saba na nusu(750)
 
Hiyo ina bei nafuu kwa nn. Ni toleo la zaman au ubora
Hapana ni camera,,CX Air back &front camera ni 13mp na CX back &front no 16mp so unaweza kuona utofauti uliopo
 

Attachments

  • IMG-20170928-WA0064.jpg
    56.3 KB · Views: 56
hello, natafuta kioo cha samsung galaxy J3 2016, simu imevujia wino, mwenye nacho anambie na bei yake. Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…