Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Boss hebu nijuze kuhusu hizi tecno sparks na bei zake kama unazo. Mie nataka nihamie tecno but sijawa na information za kunitosha
Sikushauri sana hiz spark,nikushauri ukitaka simu nzur ya tecno anzia W5 kavu,nzuri sana au L9+ japo siku hzi zineadimika lakin ni nzur sana au Common CX kavu sio CX Air utaenjoy,au J8 bado ipo vzr sana,spark nying ni 200-197 unapata nzur Ila naziona zile kama sio za kijanja sana...
 
Kwan cammon cx. Inauzwa bei gan
 
W5 kwa maduka ya kawaida haizid 25k ila sio mazur kama ya kwao wakikuwekea wenyewe.. Ngoja nitaeapa namba ya fundi wa pale kwao ukitaka kupitia mlango wa nyuma anakupoozea kias fulan kama navyofanyaga,mi kazi yang mkuu ni kuuza simu uliza swali lolote linalohusu bei za simu za tecno nitakusaidia kama litakua ndan ya uwezo wngu

Ngapi mkuu wa hyo jamaa nahitaji betri boss
 
iphone 6 kamili g128 fingerprint inafanya kazi kama kawaida na kila kitu ipo poa inauzwa tsh laki saba na nusu(750)
063f3bd70bb690aa94f0ff9f09fc6f5f.jpg
8df9a4ff80090b2196b1d3a5b9e83212.jpg
03631a703016c2f96197e461162c9d6b.jpg
 
Hiyo ina bei nafuu kwa nn. Ni toleo la zaman au ubora
Hapana ni camera,,CX Air back &front camera ni 13mp na CX back &front no 16mp so unaweza kuona utofauti uliopo
 
Attachments

  • IMG-20170928-WA0064.jpg
    IMG-20170928-WA0064.jpg
    56.3 KB · Views: 56
hello, natafuta kioo cha samsung galaxy J3 2016, simu imevujia wino, mwenye nacho anambie na bei yake. Asante
 
Back
Top Bottom