xav bero
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 5,134
- 7,338
Sikushauri sana hiz spark,nikushauri ukitaka simu nzur ya tecno anzia W5 kavu,nzuri sana au L9+ japo siku hzi zineadimika lakin ni nzur sana au Common CX kavu sio CX Air utaenjoy,au J8 bado ipo vzr sana,spark nying ni 200-197 unapata nzur Ila naziona zile kama sio za kijanja sana...Boss hebu nijuze kuhusu hizi tecno sparks na bei zake kama unazo. Mie nataka nihamie tecno but sijawa na information za kunitosha