elimuplatform
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,054
- 462
Uko wapTecno cx air imetumika wiki 3 ina 360 cover, screen protector , full metal body, camera mp 13 nyuma na mbele, ram 2gb, storage 16gb ina 4g na fingerprint scanner.
Bei tsh 260,000/=
Mawasiliano 0712411879
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu iy n bei ya tecno CX Air iyo yako uza kwa 190k adi 215kMimi nauza Techno C9 260000
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu iy n bei ya tecno CX Air iyo yako uza kwa 190k adi 215k
Dsm njoo pmUko wap
Chukua 100 k
Samsung galaxy s4 GT-I9500
Price - 180K
Location TBT Dsm
Contacts 0763976109. 0658190978
SawaNauza Samsung Galaxy j5
Sh 300k
Location mwanza
Ina crack kdogo lakn uko fresh
0674250886
Maongezi yapo
Mbona bei zenu ni sawa na dukani wakati ni second hand....note 3 ya 4G aina tatizo ata lolote....inatakiwa pesa 300000/=
100 kNauza samsung j7 prime duos laki 2 na 80 nipo dar 0675990776
Hii nimeielewa haswa, bei sasa
Samsung Galaxy j5 pro (2017)
Price 530,000/=
Cont: 0716 403 314
0625882454
Tembelea kingrootYangu ni techno WX3 nataka kui root,nipe mwanga,
mkuu duka gani wanauza note 3 laki 3??? simu ikishatoka ktk box ata km imetumika 2days tunaita used..coz imeshatiwa email, gmail accounts or apple Id n.k...na pia item inategemea na condtion na ubora wa kitu aina maana simu ikiwa second hand ndio iwe bei chini ata ikiwa imetembea mikono sita bado soko na ubora wa note 3 aujafika kuuzwa Eg: 150000...pia bei zisikutishe jaribu kuzungumza na mwenye item coz wabongo ktk biashara huwa wanagawa bei akiambiwa laki 2 atasema analipa laki moja....so karibu mkuu uwanjaniMbona bei zenu ni sawa na dukani wakati ni second hand
Tecno cx air imetumika wiki 3 ina 360 cover, screen protector , full metal body, camera mp 13 nyuma na mbele, ram 2gb, storage 16gb ina 4g na fingerprint scanner.
Bei tsh 260,000/=
Mawasiliano 0712411879
Huu mkono mbona ni wa mzungu au wewe ni mzungu mkuu? Unaweza ona ni swali la kawaida ila lina maana sana katika hii biashara yako
Unaweza zungumza...bei mbona zinapanguka na kupangika tu...!Hii nimeielewa haswa, bei sasa
mie nahitaji simu yenye 256gb or 128gb