jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 9,604
- 8,812
Wauza smartphone tukutane hapa
Na mie nina iphone 5, laki saba tu, imetumika kidogo, tutafutane kupitia 0753680847...Karibuni...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wauza smartphone tukutane hapa
Nipo dar km waitaka tukutane humu0715378899
samsung s3
wakuu sony xperia z1 kwa sasa inauzwa sh ngapi madukani...original one
Ninaiuza samsung S2 yangu nimeinunua kama miezi mitatu iliopita mpya sasa ikaingia maji nikaipeleka kwa fundi akaniambia sacket imekufa lazima ninunue mpya i did that ila hii mpya nilioinunua ina ni ya korea i think mpaka ifanyiwe setting kwnye software saababu siwezi kucheki salio nikibonyeza *102# inaji dial moja kwa moja na pia sms zinasema fail tatizo lake ndio hilo tu. Sababu nyingine ya kuiuza ni kwa ajili nimeagiza simu mpya kwa sister anakuja mwisho wa mwezi huu likizo.. alie inyrestd anicheki namba ni 0712220207. bei ni 150
Nauza iphone 4 32gb haina tatzo lolote wala kuvunjika kwa 300000
0719719335
Hiyo s 4 bado ipo? Nipm tubonge