Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Htc one x..running 4.2.2
32 gb. Internal memory.
For just 280,000/.
0716403314

1438364698238.jpg
1438364733248.jpg
1438364776458.jpg
1438364834175.jpg
1438364869328.jpg
 
Jamani nauza samsung s4 origina used ina 2gb ram na internal memory 32gb kwa 320000.pia nauza samsung dual i8262 kwa 170000 tu zaidi njoo pm.mizigo bado ipoo.oooooooh pia kuna samsung s6 edge original kwa milioni moja na laki sita.

Hiyo s 4 bado ipo? Nipm tubonge
 
280,000/ nikupe injini ya jiji HTC one x ukiwa na gb 32 na android version 4.2.2.
Screen protector pamoja na back cover.
0716403314 kwa mapicha
 
Display3.00-inch
Processor
Front CameraNo
Resolution240x400 pixels
RAM32MB
OS
Storage10MB
Rear Camera2-megapixel
Battery capacity,2.5G network, used Nokia Asha 306 TSH50000/= 0658251994
 
Hapa mkononi nina sealed huawei y330 dual na pia nna iphone 4 iliyotumika kwa mwezi tuu
Je nikikupa izi zote unanipa na sim gani?
 
Y530 150K mint condition, bei inapungua.if interested niquote au nipm
 
Back
Top Bottom