Ninaiuza samsung S2 yangu nimeinunua kama miezi mitatu iliopita mpya sasa ikaingia maji nikaipeleka kwa fundi akaniambia sacket imekufa lazima ninunue mpya i did that ila hii mpya nilioinunua ina ni ya korea i think mpaka ifanyiwe setting kwnye software saababu siwezi kucheki salio nikibonyeza *102# inaji dial moja kwa moja na pia sms zinasema fail tatizo lake ndio hilo tu. Sababu nyingine ya kuiuza ni kwa ajili nimeagiza simu mpya kwa sister anakuja mwisho wa mwezi huu likizo.. alie inyrestd anicheki namba ni 0712220207. bei ni 150