Wauza smartphone tukutane hapa

Kuna mtu nataka kumvua samsung A8 +

Anataka nimpe laki nane, vip hapa siibiwi kweli?
Mzee ikague kwanza, kuna njemba ilitaka kupga watu humu humu kwa simu hio hio ikawa copy, nikampa fact za A8+ kama 20 hv akatoka mbio akafuta picha, comments na nyuzi zote, ukirud nyuma kdg utaona
 
Tecno camon cm bei 260k... Location dsm no. 0762415319
 
Kama una trancend flash gb 32 kwa bei unielekeze ulipo kesho niifate
 
Tecno camon cx.
Ram 2gb.
Internal 16gb.
Camera 16/16.
Ina 4g
Inahitajika 230k.
Nicheki 0743253260 kwa picha na biashara
NB: Ipo kwenye hali nzuri
location ni mbeya
 
Nauza Tecno Tablet droipad 8II BEI 250K
Rangi yake, silver

Ram 1GB
Rom 16GB

camera safi,, unaweza piga picha na kusafisha,
Unaweza kutumia kwa kufanya typing kama PC,
Chaji inadumu vizuri.

Location nipo morogoro mjini, njoo wasapu 0718418387
 
Infinix hot 5.....Exchange ..natafta samsung j7 au infinix hot 6 pro...naongeza na hela kidgo ila ina crek kidgo
[/IMG][/IMG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…